sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskiniππ..
hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha kila siku wenzangu.π΅

Kwani wewe hauna matukio ktk maisha yako?? Matukio ya kuandikq yapo kibao, ktk jamii au hata maisha yako au ya ndugu, jamaa na marafiki. Mfano, ebu anzisha uzi kuhusu ule mchepuko wako! Utashangaa mwenyewe umaandika gazeti na kujiuliza umeandikaje gazeti bila kujua.
Kwani wewe hauna matukio ktk maisha yako?? Matukio ya kuandikq yapo kibao, ktk jamii au hata maisha yako au ya ndugu, jamaa na marafiki. Mfano, ebu anzisha uzi kuhusu ule chepuko wako!