wenzangu m'meiona hii toka itv??nimestushwa sana!!

Jamani!!! hivi nyini hajawahi kuchoka? kampeni ya mwezi mzima si mchezo.. mnaombea kweli JK aanguke tena, kweli we mchawi!! mbona Synovate wamekataa? cha nini cha kumuogopesha Jk wakati wapinzani kazi yao kulalama tu majukwaani. mitandaoni bila kufanya kazi. LOL
 
Kuna tetesi kuwa sheikh yahaya ameliona hilo na atamwongezea nguvu kikwete kurudisha pale zilipopungua
 
Amekonda na kunyongonyea.
Pole JK ingawa ni seri yako juu ya kinachokusibu ila nakuombea afaya njema
 
Mhhh wewe.........Hebu tuondolee uchuro hapa ebo!!!!!!!!!!..........Ushakuwa Sheikh Yahya mara hii

Sipendi sana kuchangia 'sredi' za aina hii(za kampeni/uchaguzi0 lakini kauli zako hizi nzio zimenifanya nichangie aisee....
Kikwete anatumia haki yake ya kikatiba kugombea uprezidaa bana,hayo mambo ya afya yake anayajua mwenyewe ndo maana akajitosa na kuendelea na kampeni za uchaguzi....Kwa nini unamuita ni mjinga na ana kburi..............kuwa na adabu bana,eti anapingana na afya yake!!!!!,suala la afya yake limeshaongelewa hapa na hata ugonjwa unaomsumbua(kwa mujibu wa madaktari wake na CCM) ni sukari kushuka unaweza ukampata yeyote na wakai wowote(hata wagombea wengine) subiri kampeni ziishe uchaguzi ufanyike ndo uanze kuyaongea haya.............KIKWETE yupo kwenye kampeni na anatumia muda mwingi sana katika safari na kuhutubia mikutano ya hadhara so si ajabu kumuona kabadilika wajihi..........Ni hali ya kawaida kaika kampeni
Mkuu,kwanza kama ambavyo una uhuru wa kuamini kuwa JK yuko fiti ndivyo ambavyo wengineo wana uhuru pia wa kuamini tofauti nawe.Haihitaji hata cheti cha kozi ya muda mfupi kuhusu tiba kubaini kuwa afya ya Jakaya ni mgogoro.Ni katika taifa nchi kama zetu ambapo Rais anaweza kuanguka ovyo mara kadhaa lakini watu wakaendelea kuamini hadithi za uchovu.Hao Wamachinga wanaotembea kwa miguu kutwa nzima hawaanguki ovyo kama kuku wenye mdondo,sembesu yeye anayezurura angani?By the way,hilo la kisukari ni utetezi wako.Wenyewe wanasema sukari inapanda kutokana na uchovu.Anyway,amini wanachosema but truth is Kikwete is epileptic.Waulize waliokuwa naye Foreign Affairs watakuhabarisha

Na kama anatumia muda mwingi kwenye kampeni kwani Dkt Slaa au Lipumba wanatumia muda mchache?

-Suala la kushinda ama kutoshinda kwa mgombea yeyote tuwaachie wananchi hiyo tarehe 3 Oktoba(ni sawa na mpira wa miguu,mshindi wa taji hupatikana baada ya dk 90,au 120 au kwa penati,zamani hata kwa shilingi)....Hapo ndo tutajua mbivu ni zipi na mbichi ni zipi.............Ni kigezo kipi kimekufanya uamini kwamba KIKWETE hatashinda ei 'baada ya kutanguliza familia yake na ubinafsi'!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu,kwa upande mmoja unataka mtoa hoja asubiri hiyo "3 OKTOBA" (naamini ulitaka kumaanisha 31 oktoba) lakini upande mwingine unaonekana kutoafiki maoni huru ya mtoa hoja kuwa Kikwete hatoshinda!Kama ni subiri ya matokeo basi isielemee kwenye "hatoshindwa" pekee,or vice versa,bali iwe neutral.By the way,kila Mtanzania ana uhuru na haki sio tu ya kutabiri Kikwete ashindwe bali pia kusoma dua,kufunga ana ikiwezekana kwenda kwa Sheikh Yahya asome itikafu ili ashindwe.Kama kuna Mtanzania hadi dakika hii hajui kwanini wengi wetu hatutaki Kikwete ashinde basi ana lake jambo!
-Mama Salma,Ridhwani ama mtu yeyote kutoka familia ya KIKWETE anao uhuru wa kumkampenia KIKWETE(kwa taratibu walizojiwekea wao CCM)...............Ni sawa na Bill Clinton na bintiye cHELSEA WALIVOKUWA WAKIZUNGUKA us nzima kumkampenia Hilary wakati akitaka ridhaa ya wana Democrats kumteua awe mgombea urais wa US...CCM tayari wameeleza kwamba hizi ni gharama zao kama chama na si hao tu kuna makada na ndugu kibao wamezunguka Tanzania nzima.....Huu ni mkakati wa ushindi wa CCM ambao ungeweza kubuniwa na kutumiwa na chama kingnie chochote kile......Ndo maana utaona vyama vya CUF na CCM wagombea urais na running mates wao hawazunguki pamoja,wanaenda sehemu tofauti kwa lengo la kuwafikia waTanzania wengi zaidi na kupata kura nyingi....
Sijui CCM wakae madarakani miaka mingapi ili baadhi ya wenzetu wabaini kuwa asilimia kubwa ya kauli zao sio tu ni za kifisadi bali pia ni za kitapeli.Kama waliweza kuchakachua matokeo yao wenyewe kwenye kura zao za maoni watashindwa kuchakachua nyaraka kuwa fedha za kugharamia chopa ya serikali anayotumia Salma inatoka mfukoni mwa CCM.Hivi sio serikali ya chama hichohicho iliyotuambia mafisadi wa EPA wanarejesha fedha na hadi leo hawatuambii hatma yake wala kuambiwa hao warejeshaji ni akina nani.Kama wanaweza kuficha mmiliki wa KAGODA watashindwa kuzuga kuhusu ishu ya gharama ya chopa ya Salma?
-Nani kakwambia atafia kwenye kampeni aiseee...KIKWETE bado ana sifa ya kikatiba ya kugombea kipindi kimoja zaidi,hayo mengine ya utendaji kazi tuwaachie waTanzania waamue kupitia uchaguzi.......Mengine tumuchie Sheikh Yahya & Co......................................................Kwa heri ya kuonana
Mkuu,sie wengine hatuhitaji kuambiwa kuwa atafia kwenye kampeni au ataanguka tena kama si ku-paralyse.TUNAOMBEA IWE HIVYO.Ni haki yetu ya kibinadamu kama ilivyo ya wale wanaomwombea afya including majini ya Sheikh Yahya yanayomlinda.
 
Ndio maana Synovate na REDET wanahifadhi matokeo ya kura ya maoni maana Kikwete akiambiwa Dkt Slaa anaongoza japo kwa point moja tu basi ndio ntolee.
 
Huitaji kuwa na elimu toka juu kuelewa JK is sick. Our prezidaa is sick!!!
Aombe Mungu tu kampeni ziishe slama lakini hana ubavu wa kumaliza salama!!! Amechoka sana...
 
Pole Ndugu, Mheshimiwa, Kanali Mstaafu, Dr JMK, nakuhurumia maana wamekuacha wewe na familia mtafute uraisi wa nchi hii. Mwinyi ulikuwa naye jana kwa Msekwa lakini naona ulisononeshwa mno na kifo cha mwanae Msekwa hukupata nafasi ya kumtaka akuunge mkono. Mkapa kakukimbia kabisa, na Sumaye naye sijui amerudi masomoni au la. Kamanda Warioba na Msuya mliwahi kuonana siku za karibuni? Pole kamanda mstaafu.

Ushauri wa bure mheshimiwa Mama Salma na RIwa washtue, afya yako mgogoro usije ukashindwa kufikisha mzigo. Watume wakawaone hao hapo juu wakausaidie. Vinginevyo, chukua zako changanya na zao, walau uwepo!

Malaria sugu unasemaje kuhusu afya ya huyu mwanaharakati!
 
Chelsie hakuwahi ku campaign kwa Hillary hata siku moja, japo alikuwa anaongozana naye. Bill Clinton alikuwa ana campaign kama raisi msataafu akiwa kwenye chama cha Democrats.

Mmhhh...........haya bana



Hillary Rodham Clinton presidential campaign



Chelsea Clinton speaking during a campaign stop for her mother in Madison, Wisconsin, February 2008.
In December 2007, Clinton began campaigning in Iowa in support of her mother's bid for the Democratic presidential nomination.[32] She appeared across the country, largely on college campuses.[33][34][35] By early April 2008, she had spoken at 100 colleges on behalf of her mother's candidacy.[36]
On the campaign trail, Chelsea answered audience questions but did not give interviews or respond to press questions,[37] including one from a nine year old Scholastic News reporter asking whether or not her father would be a good "first man"."[38] She replied, ""I'm sorry, I don't talk to the press and that applies to you, unfortunately. Even though I think you're cute".[39] Philippe Reines, her mother's press secretary, intervened when the press attempted to approach Chelsea directly.[38]


Clinton speaking at the 2008 Democratic National Convention
When MSNBC reporter David Shuster characterized Chelsea's participation in her mother's campaign as "sort of being pimped out", the Clinton campaign objected. Shuster subsequently apologized on-air and was suspended for two weeks.[40]
The first time a college student asked about her mother's handling of the Lewinsky scandal at a campaign stop she responded, "I do not think that is any of your business".[36] But as she became a more experienced campaigner she refined her response and deflected questions on the issue with comments like "If that's what you want to vote on, that's what you should vote on. But I think there are other people [who are] going to vote on things like healthcare and economics."[36][41]
On August 26 at the 2008 Democratic National Convention, Chelsea called Hillary "my hero and my mother" and introduced her with a long video tribute.[42] After this appearance she returned to New York City and her private life.

Chelsea Clinton - Wikipedia, the free encyclopedia
 
kikwete atashinda uchaguzi, ninachotaka mie asisihinde kwa tsunami au kishindo! ashinde angalua kwa 51% aelewe kuwa watz hawapendi usanii wake. kwa jinsi anavyopenda masifa itamuumiza sana. mpeni dr slaa, lipumba, au hat yule wa nccr kuepusha tsunami ambayo ni balaaa kwa watz
 
Mungu akulinde ewe jakaya kikwete, awe nawe asikuache, kamwe usitegemee ulinzi wa majini bali wa mungu aliye hai, kamwe kamwe uwe mbali na matapeli kama sheikh yahywe. Hata kama huamini, lakini kristu mfufuka atakuwa tumaini lako
 
Hivi Lisu aliposema kuwa kuna watu wanabadili sera kila bbada ya miezi mitatu alikuwa ana maana gani??
 
Binafsi simuombei kifo, naomba aishi kuona mafanikio ya Tanzania chini a Dr! na alipe machozi ya watanzania, nitafurahi sana yeye na mafisadi wake wakiingia segedansi wamevaa bangili za chuma!
 
Mimi nakuunga mkono hebu angalia picha yeke ya jana wakati wa mazishi ya mtoto wa Msekwa kapoteza uzito huu mwili si wake.

Waafrika ni wajinga wajinga sana. Mtu akipungua uzito basi tayari ni ugonjwa. Ila akitokwa na nundu mbele na nyuma ndiyo afya.
 
Back
Top Bottom