Wenzangu mkibandua mnakuta NINI?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Mimi kila nikibandua kizibo cha soda za Pepsi(zenye vizibo vya rangi ya njano) nakuta maneno: 'Dare for More'.Wenzangu je?
 
Basi nyie ukoo wenu na wetu we are vary na wetu! In our clan tukibandua tu! Soon lazima mtu ata'attend kiliniki !
 
Mi kila nikibandua kwa nyuma naambiwa "Jaribu Tena"...
 
Me nikibandua nakuta kibandiko kingine, hvyo nabandika tena nisiharibu kibandiko nilichokuta kimebandikika
 
Judgment,unabandua vizibo vya soda au bia?
 
Me napenda sana Kubanduliwa,
Maana Plasta zetu hzi zikinasa na Ngozi yenye vinyweleo lazima ubanduliwe tu,
Mwenyewe utaogopa kujibandua.
 
Me napenda sana Kubanduliwa,
Maana Plasta zetu hzi zikinasa na Ngozi yenye vinyweleo lazima ubanduliwe tu,
Mwenyewe utaogopa kujibandua.

fanya kuniajiri uwezo wangu wakubandua ni wastadi ya hali yaju tena bila mafuta nabandua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…