dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,207
- 49,666
... bila kusahau kukutwa na nyama kavu ya nyati majumbani mwao!Hao wenyeviti wajiandaye na kesi za:- (a) kukutwa na bangi mashambani,
(b) ngozi za chui majumbani na
(c) kukutwa na mitambao ya gongo.