Kwa mujibu wa Crashwise, wenyeviti waliojivua gamba ni viongozi wa serikali za mitaa kutoka vitongoji vitatu kata anayotoka Mama Kilango.
Crashwise pia ametuarifu kuwa mwenyekiti wa serikali za mitaa
kata ya Mateves jiji la Arusha amejivua gamba na kujiunga chadema.