Wenyeji nipokeeni mwenzenu!

Karibu sana binti mimi natoa ushauri katika nyanja zote za maisha.Kama vp npm au nitumie email kabisa nikushauri wasije wakakuharibu maana ww bado mdogo na unafaa kijana mzuri kama Salanga
 
Karibu ila ukweli ni kwamba kama ulikuwa na kadi ya Magamba urudishe fasta na uchukue kadi ya Magwanda fasta! All the best...!!!
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Hapo unadili na kiambishi awali 'i' katika kitenzi 'ishatolewa' kisha unapachika nomino yoyote inayoendana na hiyo 'i' kwa kuzingatia kwamba hiyo nomino isivuke mipaka ya MMU.
<br />
<br />
Mmh! Wataalam wa lugha mpo humu duh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom