Wenye Waume/Wapenzi Muwe Makini..

habari zenu...

jamani wanawake muwe makini sana waume/wapenzi wenu wanapokwenda saluni kunyoa (barber shop). huko kuna wadada wamekaa kiwiziwizi sana, kuanzia nguo wanazovaa, mapozi yao, lugha, etc. tena wanaume wakiingizwa huko chamber kufanyiwa sijui massage, facial, scrub, etc. kuna mambo mengine yanayoendelea huko zaidi ya niliyoyataja.

na nyie wanaume mkienda saluni muwe ngangari sio mkifanyiwa massage kidogo na kusuguliwa kidevu basi mnaishiwa kabisa. muwe strong jamani....

ni hayo tu.

usiku mwema kwa wote.

Mi sijaelewa mleta mada analalamika nini? Mnawasema wanaume wawe ngangali wakienda huko wakati huo nyie wenyewe wadada mmekaa kiwizi wizi, yaani unakanya huku ndani mwanamke mwenzio anamtega huyo mwanamke. Mi nadhani mngeanza wenyewe kupunguza hiyo mitego kwani tayari mwaijua ingekuwa vizuri zaidi. Kwani huyo anayemtega mwanamme naye ameolewa au ataolewa wakwake atategwa pia na story itaendelea huyo naye atakuja kulalamika hapa.
 
Kila mwanaume mwenye masikio na mwenye kujali mahusiano yake na aisikie hii habari na kuifanyia kazi.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hao kinadada wanasaidia sana kuimarisha ndoa zetu. Usipinge kabla hujafikiria kwa kina.
 
Ukiishi kwa kuogopa kuwa mwanaume atatoka nje unaweza kuja kumwabudu binadam mwenzio. Mwanaume hatosheki kama kuku tu, ukimpa chakula hata kizuri ataenda kudonoa cha jalalani. Atakushangaza ubaki mdomo wazi
Heeheee. we mdada ni nooomaaaa. Ina maana hata bro unamfananisha na kuku? Hatareeee. Ok bhana. Na nyie wanawake muanze kujisachi, muone kama mnatenda haki, ili wanaume zenu wasiwe kama kuku? Wadada mkishaolewa baasi... masharti kibao, mara leo umenuna, mara kichwa kinauma, mara tulale tu tutado siku nyingine, mara mafuriko yataanza muda wowote.... Kiasili, wanaume tuko tofauti, k ni kama addiction. ukimletea zengwe, wala hazipiti siku mbili kwa sababu k yako haina tofauti na zile zingine, isipokuwa zile zingine hazina strings attached, yaani ni kujisevia. kalieni k zenu mkidhani wanaume ni kama kukuuu.... balaa sanaa, hasa hili la kuku...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom