Wenye watoto wa kike soma hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenye watoto wa kike soma hapa

Discussion in 'International Forum' started by Shadow, Dec 6, 2008.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Wandugu, Tunakazi sana ya kulea miaka hii. Ebu anagalia hawa watoto watukutu wa U.K. Walivyomfanyia mwenzao. Haya ni matokeo ya sheria mbovu za kumlinda kijana na mmomonyoko wa maadili huko U.K. Mtoto bila mzazi au wazazi .... Eh Mungu na utuepushe yasije tinga Bongo.
  Girl, 14, raped by schoolboy gang
  Nine schoolboys have been convicted of raping a 14-year-old girl.

  The gang snatched her from the street and took her to a stairwell in a block of flats in Hackney, east London, in April last year, a court heard.

  She was told she should be raped for insulting their leader's girlfriend, and they laughed as they took turns.

  Six boys were found guilty of rape, kidnap and false imprisonment. Three others admitted the same charges. All will be sentenced on Monday.

  Legal anonymity was lifted by Snaresbrook Crown Court on seven of the nine.

  Plight ignored

  O'Neil Denton, 16, Weiled Ibraham, 17, and Yusuf Raymond, 16, admitted the offences.

  The others before the court - Jayden Ryan, 16, Alexander Vanderpuije, 15, Jack Bartle, 16, Cleon Brown, 15, and two aged 14 and 16 who still cannot be named - were convicted by a jury of the same charges.

  Nicola Merrick, prosecuting, said the girl's ordeal began when some of her attackers - aged as young as 13 at the time - snatched her from the street.

  She said although she was "too afraid" to call for help, her obvious plight was ignored by passers-by.

  Ms Merrick said other boys were phoned to join in and they were laughing and shouting encouragement to each other as the girl was raped.

  The victim was so traumatised she later attempted suicide, the prosecution said.

  Applying for anonymity orders to be lifted, Miss Merrick said it was "in the public interest" that the defendants should be named.

  "Those young people who become members of gangs, should know the outcome of this trial, that they will not mete out punishments as a gang with impunity and not ultimately retain their anonymity

  source:BBC NEWS | UK | England | London | Girl, 14, raped by schoolboy gang
   
 2. gwandumi

  gwandumi Senior Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  hayo ndo matokeo ya uhuru bila mipaka
   
 3. C

  Chitgo New Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So what we gonna do ma relative?
   
 4. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Inawezekana matukio haya yanatokea lakini maisha yetu yanatofautiana na wenzetu.Nasema hivo kwasababu sio kwamba kwetu ndio watu wote wazuri au wanaubinadamu,hapana wanatishwa na wanaogopa kusema majumbani.Wazazi wetu mara nyingi hawana urafiki na watoto wao na ni hatari zaidi kwasababu wazazi wengi hawaongei ktk lugha za kirafiki wakati wote wao ni kufoka tu hata unaogopa kuuliza swali ambalo ni muhimu.Wakati mwingine unaweza kuona mtoto anauliza maswali nje ya nyumba kwasababu hata kama jambo limemfika inaweza kibao kikamgeukia mwenyewe kwahiyo wanakufa kiofisa.Wenzetu wanakuwa karibu sana na watoto wao na inakuwa rahisi kumjua mtoto kama kitu kimemtokea.
   
 5. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Wakameruni hao, wana washirika wao hapa nchini.
   
 6. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,057
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  Ikiwa tutaendelea kuiga tuu bila kufikiria maslahi na utamaduni wetu, haya ndiyo yatungojeayo hivi karibuni.
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  aliyebakwa ni mzungu au mwafrika?
   
 8. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Human being
   
 9. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,105
  Likes Received: 1,494
  Trophy Points: 280
  sasa hivi kuna NGO zinafanya kampeni viboko vifutwe mashuleni bila kuonyesha mbadala wa adhabu gani wanatakiwa wapewe watoto wanaokosa na bila kuwaandaa walimi namna gani ya kukabiliana na watoto watukutu.
  Ningeziunga mkono hizo NGO kama tungezibiti matumizi ya viboko kwani si kila kosa linahitaji kuadhibiwa kwa viboko,pia mtoto anahitajika kuchapwa viboko vingapi na kwa kosa gani?lakini siyo kwa sababu wanataka pesa kwa wafadhili wanatuharibia utamaduni wetu ingawa tunaudharau lakini wamekuwa wakigombana na serikali juu ya utovu wa nidhamu wa watoto unachangiwa kwa kiasi kikubwa na hatua ya serikali kuwalinda kupita kiasi wakitolea mfano watoto wa kiafrika walivyo na heshima
   
Loading...