Usimwamini msichana wa kazi ht kwa saa1, km mama yupo na amekuruhusu ukasome mpe jukumu la kulea mjukuu wake
Unaweza kabisa!!Mimi nimesoma tangia mtoto wangu ana miezi 7 na nimemlea mwenyewe bila msaada wa mtu yoyote na elimu yangu nimehitimisha na nafanya kazi ya maana.Muhimu ni uwe na nia na focus na usikate tamaa kwasababu si rahisi ni ngumu na kuna changamoto nyingi mno!!Lkn nashukuru alhamdulillah nimemaliza salama na sasa mtoto wangu ana miaka 6!Nilipohitimisha mm elimu yangu na yeye kaanza yake!
Ulitumwa uniquote???na wewe ulifiwa na mchumba au ulionja utamu tu? Du una mtoto wa miaka 6? Shikamoo mama mdogo.
Kama uyasemayo ni yote ni KWELI basi pole.Ushauri mpe mama yako mzazi mtoto akulelee cha muhimu kuwepo na uwezo wa kumlisha maziwa na vimiminika vingine vyenye ubora kama unga safi wa dona na maji ya matunda yaliokamuliwa.Kama uko dar na huna uwezo wa kununua maziwa naomba uwasiliane na mimi ila tu endapo yote ulioyasema hapa yote ni kweli.nikiwaza kuhusu msichana wa kaz ni changamoto
Ulitumwa uniquote???
habar za jion wapendwa
naomben ozoefu kwa mliopitia hii hali hasa single mom
mchumba wangu alifariki nikiwa na mimba ya miez 2 tayari tulikua tumekamilisha taratibu zote ilibaki ndoa tu alipata ajal na kufariki ( mungu amlaze pepa) .
baadhi ya dada zangu walinishauri nitoe lakini sikuona haja niliamini mungu anamakusudi yake,, mama angu alinitia moyo sana
sasa mtoto anamiez 4 wazazi wameamua niende chuo nikasome!! nawauliza wazoefu wa kulea je! nitaweza kusoma na mtoto mdogo?? nafasi imepatikana ya nurse( medical attendat) na nimeambiwa kuna day.... je? nikipata bint wa kunisaidia kukaa na mtoto nitaweza? wazoefu naomben msaada wa ushauri na mawazo pia.
asanten