Wenye wapenzi vyuo vikuu, ukiyaona haya kaa tayari...

Additional point: mi yashanikuta kama hayo bana kule "SUA", kale kabinti bwana kila nikikacall kana sema kapo buzy mpaka 2300hrs night, weekend kanasema kana paper all days, mala kana meeting na department/lectures, sim kaiacha charge, sim kaisau room, sim alimpa room, sim alimuachia jirani yake, mala sim itakata sasa hivi aina charge apo saa 22oohrs-2300hrs. kumbuka apo mtu umemsaidia for 6yrs alafu ana kudelete kisela iINAUMA KINOMA.
pole sana mdogo wangu, mapenzi ya sasa ni soko huria
 
Hivi wapendwa hamjui kuwa chuo wasichana wengi hupata degree zisizo zao kwa kufanyiwa assignment!!!! Na huwa nao wa aina tatu 1. wa madesa {masomo} 2. wa cafeteria{ yaani masuala ya mapolokochoko manjale-misosi} 3. wa ukwelikwa hiyo jitathimini wewe uko wapi?

hivi ni kweli eh? nasikia wengine wanalala na lecturers ili wapitishwe kiulaini mh:eek:hwell:
 
pole mkuu, wengi huwa wanajisahau sana na kuwasahau wale wanaowapenda kweli, mapenz ya chuo yana usanii mwingi sana lakn kwa upande we2 wakina dada wengi wao wanajihusisha na wapenz wengine kwa kutaka maisha flan ambayo hana uwezo nayo, kibaya zaid wasichana wa namna hii wanaishia kwenda na mibaba mikubwa tena yenye wake na watoto.

Ahsante. chakushangaza kwao life lakawaida sana lakini anataka vitu vya juu. kibaya zaidi kumpotezea mtu mda inakela kinoma, if is less 1yr fine but kama more than 5yrs alafu mtu anakuzenguwa inabowa sana. ndiyo maana sasa sitaki watoto wa vyuo kabisa.
 
Back
Top Bottom