Mbona machache wakat tuliambiwa yapo buku jero?Gazeti la Tanzania daima la leo tarehe 06/05/2017 limechapisha majina ya watu ambao wanashirikiana vyeti sehemu mbalimbali Tanzania.
Pakua majina hayo hapo chini;
umeona ya kwako ama nini mkuu?je index number ni sawa
Yeah,je Index namba,Shule aliyosoma na mchepuo ni sawa? Je ufaulu ni sawa au tofauti? Mwaka wa kuhitimu ni sawa?je index number ni sawa
Hizo dimension ambazo zimetumika kuangalia mfanano wa cheti. hakuna asiyefahamu majina ya kibantu yanafanana. hata kama hukusoma shule ukipewa kazi huwezi kuangalia majina tuYeah,je Index namba,Shule aliyosoma na mchepuo ni sawa? Je ufaulu ni sawa au tofauti? Mwaka wa kuhitimu ni sawa?
Ikumbukwe kwa mfano majina ya Kiislam kwa mfano, ni common sana kujirudia,hivyo cha maana ni kuangalia mfanano wa Shule,Index No., Combination,mwaka nk
Yeah,je Index namba,Shule aliyosoma na mchepuo ni sawa? Je ufaulu ni sawa au tofauti? Mwaka wa kuhitimu ni sawa?
Ikumbukwe kwa mfano majina ya Kiislam kwa mfano, ni common sana kujirudia,hivyo cha maana ni kuangalia mfanano wa Shule,Index No., Combination,mwaka nk
"Bado ya ya wanaotumia vyenye majina yasio yao..."
Hatari sana. hiyo bila chenga inabidi abaki mmoja mwenye cheti, ila hata yeye bado ana kesi ya kujibu kwa nini aligawa cheti.
Fukuza wote hao pia na darasa la saba wasio na fani serikalini watolewe wanakula hela bure hasa kwenye mashirika ya umma