Wenye vyeti vya watu watuletee Tanzania ya viwanda? Kivipi?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Kuna tofauti kubwa sana ya production au outcome inayofanywa na msomi na yule asiyekua msomi.Ndio maana unakuta kuna maamuzi ni ya hovyo kabisa kutokea tangu taifa hili lipate Uhuru.

Nasema hivi mipango inayopangika hutengenenzwa na wale walioenda shule wakasoma na wakastaarabika.
 
...mkuu, kuna elimu, kuna busara, kuna hekima,na pia kuna ujuzi....vinne hivi vikichanganywa ndo hupelekea kupatikana mipango mizuri,inayoelezeka hata kwa lugha rahisi, na ikichanganywa na nidhamu astahiki na ya kutosha, naam, huleta maendeleo...
Lengo hapa ni tahadhari tu, juu ya imani kwamba ati ni "ujoni kisomo tu", ndo hupelekea mazuri ktk jamii...
....kwa kuongeza, tafakari....tofauti kati ya ujuzi, na elimu....
 
Nisikileze...Ujuzi wako bila Elimu,busara na ustaarabu ni useless kwenye jamii inayotaka kupiga hatua kimaendeleo.
 
Mtu kapiga FAFA anataka kutuonyesha ana mbinu za kuleta viwanda,mbinu za kufaulu darasani ukose upate mbinu za kuleta viwanda
 
Mfano si tunaona Jamaa wa Dar anavyofanya mambo kiajabuajabu.

Zero ni Zero tu.

Back
Top Bottom