Nash mberwa
Member
- Apr 3, 2012
- 11
- 0
Bembeleza kaka ikibidi mtolee machozi huwa wanapenda sana wakiona machozi ya mtu mzima.
Machozi ya nini,kwani unataka kukaoa.Kama hakataki tia makofi halafu kaache katakuja kubembeleza kenyewe, usihangaike bwana na hako katoto