Wenye uzalendo wa kweli, msijibu threads zinapomponda Polepole, naona zinamiminika. Just ignore them with no response

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Naona kuna kundi kubwa la chawa wanaanzisha threads kibao AGAINST POLEPOLE. The majority wamejiunga 22/8/2025 Dawa yao ni kuzi ignore. HAKUNA KITU KINAUMWA KAMA MTU KUWA IGNORED!

Polepole anachokifanya kiungwe mkono. hata kama nyuma alifanya yasiyopendeza, kwa hili tumuuunge mkono kwa vile anapigana kuondoa udhalimu!
 
Naona kuna kundi kubwa la chawa wanaanzisha threads kibao AGAINST pOLEPOLE. Dawa yao ni kuzi ignore. HAKUNA KITU KINAUMWA KAMA MTU KUWA IGNORED!

Polepole anachokifanya kiungwe mkono. hata kama nyuma alifanya yasiyopendeza, kwa hili tumuuunge mkono kwa vile anapigana kuondoa udhalimu!
Hiyo ndiyo mapungufu ya CHADEMA, kila anayeiponda CCM nyie mnamuona mwema. Hivi kwa mfano akigeuka na kuanza kumsifia Samia, mtaweka wapi nyuso zenu.

Wenzenu wanatakatisha fedha nyinyi mnatakatisha wahalifu. It's weird and totally absurd
 
Humu mitandaoni sio ofisi za cdm, sasa uposema cdm unaonekana juha tu.
 
Naona kuna kundi kubwa la chawa wanaanzisha threads kibao AGAINST POLEPOLE. Dawa yao ni kuzi ignore. HAKUNA KITU KINAUMWA KAMA MTU KUWA IGNORED!

Mimi Kila anayeleta post za namna hiyo hiyo anakublock mwenyewe
 
Hiyo ndiyo mapungufu ya CHADEMA, kila anayeiponda CCM nyie mnamuona mwema. Hivi kwa mfano akigeuka na kuanza kumsifia Samia, mtaweka wapi nyuso zenu.

Wenzenu wanatakatisha fedha nyinyi mnatakatisha wahalifu. It's weird and totally absurd
Chadema inahusika vipi hapa? Chawa wa Samia mkisikia tu Chadema viharage vyenu vunatema
 
Humu mitandaoni sio ofisi za cdm, sasa uposema cdm unaonekana juha tu.
Juha utakuwa ni wewe ambaye huna uwezo wa kusoma mwandiko wa mtu na kutambua itikadi yake.
 
Yamekuja kibaooo na ID mpya...na kwa hii kasi hawa itakuwa wanalipwa buku 8 na mia 5 sio buku 7 tena
 
Naona kuna kundi kubwa la chawa wanaanzisha threads kibao AGAINST POLEPOLE. Dawa yao ni kuzi ignore. HAKUNA KITU KINAUMWA KAMA MTU KUWA IGNORED!

Polepole anachokifanya kiungwe mkono. hata kama nyuma alifanya yasiyopendeza, kwa hili tumuuunge mkono kwa vile anapigana kuondoa udhalimu!
Sawa
 
Hiyo ndiyo mapungufu ya CHADEMA, kila anayeiponda CCM nyie mnamuona mwema. Hivi kwa mfano akigeuka na kuanza kumsifia Samia, mtaweka wapi nyuso zenu.

Wenzenu wanatakatisha fedha nyinyi mnatakatisha wahalifu. It's weird and totally absurd
Hujawahi kuandika kitu cha maana. Samahani lakini
 
Back
Top Bottom