WENYE UTHIBITISHO WATUAMBIE

Mara nyingi (na siyo Mara zote) ukiota unafanya mapenzi na mtu unayemfahamu au usiyemfahamu, huyo Ni jini mahaba anazini na wewe na kwa kuwa ana wivu, huwa anaweka wigo wa kiroho ili usimpate huyo mwanamke unayemuhitaji.

Na hii ndiyo sababu wanaume wengi wanaoota ndoto wakifanya ngono au wanapiga nyeto, Mara nyingi wanachelewa kuoa au wasioe kabisa na wakioa wanakuwa wanasumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume
 
Upungufu wa kinga?
 
Wanasumbuliwa na upungufu wa kinga mwilini?
 
Suluhu yake ni nini?
 
Dawa yao Kitimoto tu,, mifupa had kitandani
Shwain hao
 
duh mbona hii hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…