Wenye ujuzi na Uzoefu katika field ya Information Security

Wenye ujuzi na Uzoefu katika field ya Information Security

Yes Yes Yo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
232
Reaction score
99
Ni kozi ipi nzuri kati ya hizi ni nzuri na ni marketable kwenye ulimwengu wa IT :

C I EH = Certified Ethical Hacker

CISM = Certified Information Security Manager

CISA = Certified Information System Audit

CISSP = Certified Information System Security Proffesional

Asanteni kwa ushauri mtaochangia.
 
Mm naipenda CEH ila kwa apa tz cjajua chuo gan kinatoa hiyo coz lakin unaweza ukadownload vitabu vya CEH ukasoma ukiona uko deep Then ukaregister online kufanya mtihan uki pass utakuwa certified etthical hacker
 
Back
Top Bottom