Wenye uhitaji wa mchele wa Kahama

Wenye uhitaji wa mchele wa Kahama

Yusumchalo

Member
Joined
Aug 5, 2018
Posts
19
Reaction score
8
Natafuta watu wanaofanya biashara ya mchele sehemu za miji tuweze kufanya biashara ya mchele kama tunaweza kukubaliana niwe nakununulia kutoka kwa wakulima na kuukoboa pamoja na kuugrade na kuutuma sehemu ulipo ambapo gharama huwa nafuu niko na uzoefu wa kufanya kazi hii na sehemu nilipo ndio mpunga unalimwa kwa uwingi.
 
We do trading mkuu. Check inbox yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta watu wanaofanya biashara ya mchele sehemu za miji tuweze kufanya biashara ya mchele kama tunaweza kukubaliana niwe nakununulia kutoka kwa wakulima na kuukoboa pamoja na kuugrade na kuutuma sehemu ulipo ambapo gharama huwa nafuu niko na uzoefu wa kufanya kazi hii na sehemu nilipo ndio mpunga unalimwa kwa uwingi.
Niko
 
Weka namba yako ya simu iwe rahisi kukupata kwa mawasiliano
Natafuta watu wanaofanya biashara ya mchele sehemu za miji tuweze kufanya biashara ya mchele kama tunaweza kukubaliana niwe nakununulia kutoka kwa wakulima na kuukoboa pamoja na kuugrade na kuutuma sehemu ulipo ambapo gharama huwa nafuu niko na uzoefu wa kufanya kazi hii na sehemu nilipo ndio mpunga unalimwa kwa uwingi.
 
Kwa atakaye hitaji mtu wa kumnunulia mchele Mbeya basi asisite kunitafuta.
 
Back
Top Bottom