Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Jul 11, 2014 #2 Mwambie mamndenyi alokuwa analalamika kwake hakuna maji
Rapherl JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 3,504 Reaction score 2,256 Jul 11, 2014 #3 Kutumia 'picha za Watoto kwenye mitandao...' Ni kosa kufuatana na mikataba ya Kimataifa kuhusu haki za Watoto
Kutumia 'picha za Watoto kwenye mitandao...' Ni kosa kufuatana na mikataba ya Kimataifa kuhusu haki za Watoto
Kaitampunu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,465 Reaction score 1,389 Jul 12, 2014 #4 Kibo10 said: View attachment 170272 Click to expand... Wajifunze hapo au wakachote hapo?
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,294 Jul 12, 2014 #5 Rapherl said: Kutumia 'picha za Watoto kwenye mitandao...' Ni kosa kufuatana na mikataba ya Kimataifa kuhusu haki za Watoto Click to expand... Kama zinatumika ili kupata suluhisho la tatizo linaloikumba jamii haiwezi kuwa ni kosa!
Rapherl said: Kutumia 'picha za Watoto kwenye mitandao...' Ni kosa kufuatana na mikataba ya Kimataifa kuhusu haki za Watoto Click to expand... Kama zinatumika ili kupata suluhisho la tatizo linaloikumba jamii haiwezi kuwa ni kosa!