Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
Mkuu upo sahihiHabari wakuu,
kuna katabia fulani kapo miongoni mwetu.. au baadhi yetu tunakutana na hichi kitabia
mtu hakutafuti.... masiku/wiki/miezi... hakuna salamu hakuna kujuliana hali..
ikikalibia sikukuu ndio wa kwanza kupiga anaomba hela
akikwama kufukuzwa katika chumba chake ndio anakutafuta umsaidie
akikamatwa na polisi ndio wa kwaanza kukukimbilia umtoe jela
wengine mshipa wa aibu hawana wao wanatuma sms ya kukuomba hela utazan ulikuja DUNIANI kwa ajili yake..
Mtu unamsaidia,basi hata shukrani hakuna,unatuma hela asemi kama kaipata... ukimpigia simu ndipo anajichekesha ... alaf ukikata simu.. kimyaaa.... mpaka umtafute wewe.. au apate tena shida ndipo akutafute... mie huwa nawaonaga kama WACHAWI tu.
wenye TABIA hizi wapo wengi tu naomba mbadilike
ingawa tenda wema nenda zako.. usingoje shukrani.. basi tuwe tunawasiliana mara kwa mara na sio hadi wakati wa shida tu
MCHAWI NDUGU,WACHUNGUZE WA KWAKO.
Umewasahau hawa
1. Alichezea Elimu sasa anataka umsaidie pesa kila siku
2.Anakupigia simu kuomba hela ya pombe
3.upo dar una vyumba 3 vyote vinawatu wamejaa, na godoro ndio hizo hizo ila anataka kila akija dar basi afikie kwako
4.anakutembelea kila siku,kutembeleana sio dhambi ila kila siku!!!
5.watoto wako wakiwa na shida hawasaidii ila anatak umsaidie kusomesha wake
6.watoto wake wakitaka kuja kwako eti nauli utume meme ya kuwarudisha uwarudishe wewe (mikoa zaidi ya 3 hadi kufika kwako)