kamsongole
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 111
- 15
Wanajamvi, kuna mtu anataarifa zozote kuhusu nafasi za kazi tulizoomba udsm? maana naona kimya kimezidi. Au ndo tayariiiiiiiiiii. Mwenye updates atujuze.
Kuwa specific uliomba post ipi administration or Academic?? CoNAS interview ya maTA imefanyika last week kwa Assistant na Lecturers hakuna interview.. Administration interview ilifanyika last month ila kazini hakuna aliyeitwa mpaka sasa. Tatizo pesa za kuajiri kutoka gvt bado hakijaeleweka so lini wataitwa kazini no one knows but inaweza fika june or july.kwa taarifa nilizopewa na mama mmoja yuko pale Administration kwamba zile nafasi tayari kuna watu hata that time zinatangazwa wenye kazi zao walikuwa wameshaanza kupiga mzigo
alichonishauri ni"mwanangu kama kuna michakato yako unafanya endelea nayo tu haapa nafasi tayari zina watu"