October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
Tuwasiliane namba nimeweka mkuu.Duh mkuu nadhani utakuwa mtu mwema sana na mwenye muda wa wakutosha.
Kwa nijuavyo mimi hakuna business plan ya elf 20. Yaani the way hiyo kazi ilivyo complicated si rahisi kufanya kwa bei hiyo unless unajitolea.
Sasa nakupa deal la kutengeneza business plan 10 kwa hiyo elf 20. Tuwasiliane.
Mihemko ya nini ?Dogo una mihemko sana.
Calm Down. Relax.
Taratibu Kijana
Ni sawa. Nafikiri huduma yake inatakiwa kuwa kutoa ushauri wa uandaji wa business plan. Consultancy services mara nyingi hutolewa na watu walio bobea kwenye eneo fulani. Yaani wamefanya kazi kwenye eneo hilo hadi amemobea.Ni kweli plan anytime can change ila nilivyomwelewa mtoa mada kasema ukiitaji format anakutumia ili uandike mwenyewe..,,,
Ila ukihitaji unamwambia plan yako then yeye anakuandikia means anakuandikia kutokana na mawazo yako and then kama kutakua na mababadiliko utajua mwenyewe jinsi ya kuadjust..
Kuandaa business plan kunahitaji mambo kadhaa ikiwepo kufanya feasibility study ya soko, ushindani pamoja na gharama halisi za mf mashine n.k ili uweze kukadilia gharama za mradi kikamilifu.
Unless mleta mada unataka uwafanyie copy and paste of which hiyo haitakuwa BP bali ni uchafu fulani tu. BP ni katiba kamili ya kukuongoza kwenye biashara kutegemea aina ya biashara na mazingira binafsi ya mwenye biashara.
Nakushauri usiwadanganye watu.
Hakuna business plan inayokosa vyote hivyo ulivyoandika na hiyo nikazi ya mwenye wazo BIASHARA iliyopo hapa ni kuweka hivyo vyote kwenye Professional paper sikila mtu anajua kuweka ndipo napofanya Biashara na wewe.
Then kuna kazi kadhaa za kuandaa BP inategemea Goal yako nini If your targeted client you will understanda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haha mkuu ukitifuana na mtu sehemu unakimbilia kwenye uzi wake haha usijipe mzigo bana.Wewe huyu ambae ulikua unatafuta kazi ya kulipwa 250,000 kwa mwezi ndio unaweza kumuandikia CV mtu akapata kazi?hahahahah
Maajabu ya 10 ya dunia haya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haha mkuu ukitifuana na mtu sehemu unakimbilia kwenye uzi wake haha usijipe mzigo bana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ukaandike kwenye miuzi yako walokususia hakuna mchangiaji hata mmoja hadi huruma.Unaandikia watu CV huku wewe ukitafuta kazi car wash?
Impossible.
Bora ukaandike kwenye miuzi yako walokususia hakuna mchangiaji hata mmoja hadi huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app