Kama una kubali kuishi na mwanamke na ukazaa nae mkalea watoto pamoja hiyo tayari ni ndoa.Misimamo nj miwili ya wakataa ndoa.
Kupiga na kusepa.
Kuishi na mwanamke pasi na ndoa cheti over
Ngoma imefutwa tena🤣🤣🤣Niachee
🤣🤣🤣BalaaNgoma imefutwa tena
Wewe ndio huko sahii siyo huyo mtoa mada anayesema yuko tayari kuishi na mwanamke halafu hataki.ndoa anaruka majivu anaenda kuuvaa moto.Kama ni hv hata mimi npo kwenye chama la kataa ndoa
Niko na manzi mmoja na mtoto nmewaweka mahali wanainjoy life ingawaje manzi kila siku analalamika anataka tuwe wote kila siku anasema bila mimi kuwepo hainjoy
Maboss wangu hawapend niwe na mke,na mimi nimemweleza kuwa mama tulia kwanza tuchume pesa,huu ni muda wa kutumia akili na sio hisia ila haelew
Mwanzo huyu manzi nilimuweka wazi kuwa sihitaj kuoa kwasasa maana niliamini maboss hawataruhusu ila akoforce
Inshu ya ndoa alishalazimisha sana ila huwa namwambia hzo million kadhaa tutakazo poteza kuandaa hilo tukio si bora tutengeneze kamradi kengine na hapo alipo anapenda lile lisherehe likubwa
Wanakaa na kuishi na wanawake zao vizuri ila hawataki ndoa cheti kuepusha mali kugawana nusu kwa nusu.[emoji23]Habari.
Kwani vipi mbona kulazimishana sana kuoana kwani Tumewaambia Hatutaki.
Mshana Jr uzi wako ule ni mzuri sana ila bado haujaelewa wakataa ndoa wana maanisha nini?
Tafuta muda pitia hoja na uchambue kwa makini utakuja kugundua hao wanakataa ndoa.
Wanakaa na kuishi na wanawake zao vizuri ila hawataki ndoa cheti kuepusha mali kugawana nusu kwa nusu.
Wanaokataa ndoa hata kama hawaishi na mtu ila wanawapenzi wao wanaowajali vizuri tu na maisha yanaenda sawa.
Niweke sawa Hakuna mtu anayekataa ndoa kwenye mlengo wa ushoga kama wengj mnavyooengea.
Muangalie pia Tabia za wanawake wa sasa , kiuhalisia hazishawishi kumuweka ndani na kumuoa;
~ Kiburi.
~ Usaliti.
~ Dharau.
~ Ujuaji.
~ Uchawi.
Zinawafanya wanaume wasiwe na muda tena wa kwenda kula hivyo viapo.
Kingine huduma zote za ndoa tunapata tukiwa hatujaoa, je, tuoe tugundue nini?
Walokuja na hii kampeni ya kataa ndoa wengi wao ni wakristo na hii inaonesha dhahiri kua imani ya kikristo ina mapungufu makubwaHabari.
Kwani vipi mbona kulazimishana sana kuoana kwani Tumewaambia Hatutaki.
Mshana Jr uzi wako ule ni mzuri sana ila bado haujaelewa wakataa ndoa wana maanisha nini?
Tafuta muda pitia hoja na uchambue kwa makini utakuja kugundua hao wanakataa ndoa.
Wanakaa na kuishi na wanawake zao vizuri ila hawataki ndoa cheti kuepusha mali kugawana nusu kwa nusu.
Wanaokataa ndoa hata kama hawaishi na mtu ila wanawapenzi wao wanaowajali vizuri tu na maisha yanaenda sawa.
Niweke sawa Hakuna mtu anayekataa ndoa kwenye mlengo wa ushoga kama wengj mnavyooengea.
Muangalie pia Tabia za wanawake wa sasa , kiuhalisia hazishawishi kumuweka ndani na kumuoa;
~ Kiburi.
~ Usaliti.
~ Dharau.
~ Ujuaji.
~ Uchawi.
Zinawafanya wanaume wasiwe na muda tena wa kwenda kula hivyo viapo.
Kingine huduma zote za ndoa tunapata tukiwa hatujaoa, je, tuoe tugundue nini?
hiyo ni unavyojua wewe lakini sio sheria, hamuwezi kupata sawa labda awe amehusika kwenye upataji wake au kama umemuandika kwenye majina ya umilikiMimi navyojua mali lazima mgawane sawa.kama una ideas mpya unipe.
Kuhusu chqngamoto kwaninj muendelee kutushawishi sisi kuoa kama ninyi mnaona hiyo ndoa ni bora.
We nae uislam umekujaje hapa ndo maana nawaonaga elimu inayowafaa nyie ni madrasa tu. Za mtaani patupu.Walokuja na hii kampeni ya kataa ndoa wengi wao ni wakristo na hii inaonesha dhahiri kua imani ya kikristo ina mapungufu makubwa
Huwezi msikia Muislamu akiongea ujinga huo
Tatizo kubwa linakuja ple mkiachana ni pasu kwa pasu wakati Mungu kashaweka nini kifanyike endapo watu wakiachana ila mwanadamu yy akapuuza ya Muumba na akaweka amri zake na ndo amri zilokuwemo ndani ya biblia kua imeingiliwa sana na watu
Haiwezekani Mume ahangaike kutafuta hlf kirahisi tu ety tuachane hlf tugawane mali yni hili atakaekubali hana akili timamu
Njooni muone mafundisho ya kiislamu hutokuta hayo mambo kwani mke akizingua ni yy kurudi kwao tu mali za mwanaume anamuachia mwenyewe
Am proud to be a Muslim
Kumbe ndoa za kiislam ni tamu hivyo 😥😥😥Walokuja na hii kampeni ya kataa ndoa wengi wao ni wakristo na hii inaonesha dhahiri kua imani ya kikristo ina mapungufu makubwa
Huwezi msikia Muislamu akiongea ujinga huo
Tatizo kubwa linakuja ple mkiachana ni pasu kwa pasu wakati Mungu kashaweka nini kifanyike endapo watu wakiachana ila mwanadamu yy akapuuza ya Muumba na akaweka amri zake na ndo amri zilokuwemo ndani ya biblia kua imeingiliwa sana na watu
Haiwezekani Mume ahangaike kutafuta hlf kirahisi tu ety tuachane hlf tugawane mali yni hili atakaekubali hana akili timamu
Njooni muone mafundisho ya kiislamu hutokuta hayo mambo kwani mke akizingua ni yy kurudi kwao tu mali za mwanaume anamuachia mwenyewe
Am proud to be a Muslim
Ujinga mtupuRudi miaka kama ishirini iliyopita ndoa kwa asilimia kubwa zilikuwa zinadumu tofauti na miaka hii.
Na hapa ninaongelea kiujumla kwa jamii ya sasa ndoa hazidumu kabisa na unafiki umekuwa mkubwa.
So kuhepusha shari tumeona bora tusioe.
Wanaume wa zamani hawakuacha kuoa mazingira yaliwaruhusu kuoa, tofauti na sasa vipashkuna vinachonga sana.
Yeye kunipa uchi,anataka nimpe maisha
Huko zaman watu walikua hawafungi ndoa za cheti na mfumo dume ulitawala , na madume ya zamani yalikeketa wake zao ili kuwatuliza mawenge.Kila ndoa ina mambo yake, kila mwanamke/mwanaume ana mapungufu yake, huwezi sema unakataa ndoa ukihofia kukutana na aliyokutana nayo jirani, jamaa, ama ndugu. Huo ni ulimbukeni na mambo ya ushoger nayo yameingilia kwani hapo zamani watu walikuwa hawaachani? Wanaume waliacha kuoa?
Ni ndoa ila haina mkataba na sheria hazina uhuru wa kukuminya .Kama una kubali kuishi na mwanamke na ukazaa nae mkalea watoto pamoja hiyo tayari ni ndoa.
Tatzo sio mali tu faida ya ndoa kwa mwanaume ni ipi kwa dunia ya sasa yenye madawati ya kijinsi kandamizi .Wanakaa na kuishi na wanawake zao vizuri ila hawataki ndoa cheti kuepusha mali kugawana nusu kwa nusu.[emoji23]
Unaona sasa nimelizungumzia hili kule..
Kisheria ukiishi na mwanamke miezi mitatu hiyo tayari ni ndoa
Ishu ya kugawana mali nusu kwa nusu nayo ni hoja mfu sana kwenye kampeni yenu hiyo
Je mna hakika gani kwamba nyie ndio mtakuwa na mali nyingi kuliko wanawake?
Je mnajua ya kwamba ninyi ni familia moja? Sasa ishu ya kugawana mali inatoka wapi?
Hofu na kutojiamini pamoja na kutojua mengi ndio vinawasumbua
Waislamu wana mfumo dume wala sio kwamba dini yao ni ya kijanja sana , hawana haki sawa , angalia nchi kma uturuki yenye haki swa ni waislam linganisha na Afghanistan [emoji1023] ambayo ni mfumo dume 100%Walokuja na hii kampeni ya kataa ndoa wengi wao ni wakristo na hii inaonesha dhahiri kua imani ya kikristo ina mapungufu makubwa
Huwezi msikia Muislamu akiongea ujinga huo
Tatizo kubwa linakuja ple mkiachana ni pasu kwa pasu wakati Mungu kashaweka nini kifanyike endapo watu wakiachana ila mwanadamu yy akapuuza ya Muumba na akaweka amri zake na ndo amri zilokuwemo ndani ya biblia kua imeingiliwa sana na watu
Haiwezekani Mume ahangaike kutafuta hlf kirahisi tu ety tuachane hlf tugawane mali yni hili atakaekubali hana akili timamu
Njooni muone mafundisho ya kiislamu hutokuta hayo mambo kwani mke akizingua ni yy kurudi kwao tu mali za mwanaume anamuachia mwenyewe
Am proud to be a Muslim
Ndoa za kiislamu ni tamu unaweza piga ata threesome kihalali kabsa, ila sheria bado zitakutafuna tu ni kafaida ka mda mfupi kama alichopata dr mwaka .Walokuja na hii kampeni ya kataa ndoa wengi wao ni wakristo na hii inaonesha dhahiri kua imani ya kikristo ina mapungufu makubwa