Wenye Nacho Wataongezewa

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,368
2,890
CgaLTidXEAMtvuT.jpg
 
Hii picha niliona wasap na ilikuwa na maneno kuwa " pale unapoenda kutembelea shangazi au mjomba kijijini na binamu zako wanakushangaa"

Mi huwa sipendi kwenda kulala kwa watu niliowazidi hali ya maisha kihivyo maana nakuwa uncomfortable wataniona naringa au mie kupata tabu kuvumilia.
La kama ni ndugu wa kunihusu basi nafungasha kaniki za kufanania na wa huko na huwa simalizi wiki narudi kwangu.
 
Hayo maisha ya umaskini wengi ndio tuliyo kulia na tunayafahamu vizuri nakumbua mm naanza shule hadi namaliza darasa la 7 sijawahi kuvaa kiatu wala kunywa chai asubuhi ninapo enda shuleni.
Na MTU ukiumwa unakuta hamna hata 100 ya kununua panado.



Lakini Yale maisha mm kwangu ninayashukuru sana kwasababu nilijifunza mambo mengi sana.
Na ninauchukia umaskini.
 
Siku zote ili uishe vizuri na watu iwe jana,leo ama kesho ni lazma uwe na uthubutu wa kijishusha na kuwa sawa nao. Huyu aliyekwenda na mtoto mkubwa kiasi hiko hafu anampa maziwa ya chupa na kumkalisha ktk craddle ni ana ulimbukeni. Waswahili walio wengu wana tatizo la kutojiamini na ndio huwafanya wawe na show offs za kijinga.

Always live close to ur community standards, if u see them not fit then just withdraw urself from that society and never associate urself to it because if u do just know that u will be causing urself some curse. Never ever do stupid show offs to children because the hurt u inflict will turn to be a curse later.

Kiukweli ni ameboa mana nna hakika asilimia 90 hata hii picha amepiga huyo mzazi wa huyo mtoto ili akirudi town apate cha kunangia ndugu zake
 
Back
Top Bottom