Wenye mpango wa kumhujumu RC Makonda hawa hapa

Hakuna mtu anayemhujumu. Makonda anapaswa kukua. Kuna mambo fulani anayafanya yanaonekana ya kitoto na kutafuta visifa visivyokuwa na msingi. Hicho ndicho kinachowaudhi watu. He has to grow up to be counted....
 
The Last time I heard these Kind of noises around the corner, I went to investigate n lol, I run into a parrot who was repeating some ranting over n over and had no sense of what he was talking about. It is so sad that to some people the world is flat as a table and if it is spinning at all, their flat, black and white world, yes and no, right or wrong world is spinning around them! I got a News for them, The world is round, with mountains and Valleys it is not of black and white but spectrum of unknown it is not of Yes and No but of Mysteries, spinning on itself and revolving around the sun in astonishing speed of over 66,000 Miles per hr. What I want To say is Stop Cheap talk!
 
Duuh huku ndio kunywa maji ya bendera? Utajuaje mtu hana kazi? Tengeneza ajira kwanza sio unawakamata then ndio unawapa ajira...
 
duh!mtu amechoka upuuz mpk anasema RIP!tuvumilane tu jaman mana tofauti ndyo maendleo yenyewe teh!
 
ni wewe mwenyewe makonda umeandika au mmoja ya wadogo zako? haya ngoja waje na wengine kukusupport na pia utumie IDs zako nyingine kujitekenya na kucheka hadi machozi yakutoke kwa kicheko.

Kuna kundi la wanufaika wa uhalifu, matapeli, mashoga na wanufaika wake kwa kushirikiana , wameanzisha propaganda chafu za kumdhihaki mkuu wetu bora ambaye anasafisha jiji lililokuwa limegeuzwa dampo la kila aina ya uozo.

Kuna watu maisha yao yote yalikuwa ni udalali na utapeli, Watanzania tujiulize hivi wewe kama ni mtu mwema makonda kafanya lipi baya? Rc makonda anamakusudi ya dhati ya kuliweka jiji safi na kwa hilo nauhakika atafanikiwa, asigeuke nyuma kamwe.

Ana mpango wa dhati wa kuwasaidia vijana kupata ajira na kuwatengenezea fursa mbalimbali, Je atawezaje Pasipo kuwa na Takwimu ya wasio na ajira? Wapinzani wanajuwa kabisa endapo atafanikiwa yote anayoyafanya, ni dhahiri kabisa upinzani utakuwa umekufa. Watuambie ni nani anafaa mwingine zaidi ya Makonda?

Eti sasa hivi wanasema bora ya aliyekuwa mkuu wa mkoa MECKY SADICK, Jiulize alipokuwepo mbona walimponda? Waogopeni hao wanafiki Makonda tunamwamini ataendelea kuziba mianya ya waharifu bila uwoga. Naomba mtambue kwamba Wapenda uharifu,wakwepa kodi na Mashoga hawapendezwi na utendaji wa Mkuu wetu mtukufu; MAKONDA GO! GO! GO! Wengi tukonyuma yako.

WALIOZOEA VYA KUNYONGA SASA HIVI VYA KUCHINJA KWAO NI HARAMU NI WA KUPUUZWA[/QUOTE]
 
kwani alikuwa mtuhumiwa?

ila jamaa anafanya mambo kwa sifa na sio uzalendo. Hata aliyemteua kagundua anashika mambo mengi ambayo hayafanyi kwa ufanisi. Hapo Dar atapewa Polepole hana sifa za kijinga japo ni kada wa CCM
 
Kama akili zingepimwa kwa size za viatu,kuna watu wangeendelea kuvaa toddler's light up sneakers hadi uzeeni,tena zile za superman,vimulimuli kibao,kila akiamka ni chwii chwii chwii!alimradi kavaa viatu na anatembea!
 
Yupo mtu mmoja mwenye hekima na busara nyingi aliwahi kusema kuwa, ukiona huna adui hata mmoja basi ujue mtindo wako wa maisha haukusaidii hivyo fanya hima uubadilishe.
 
Back
Top Bottom