Habari wadau;
Kuna kundi la wanufaika wa uhalifu, matapeli, mashoga na wanufaika wake kwa kushirikiana , wameanzisha propaganda chafu za kumdhihaki mkuu wetu bora ambaye anasafisha jiji lililokuwa limegeuzwa dampo la kila aina ya uozo.
Kuna watu maisha yao yote yalikuwa ni udalali na utapeli, Watanzania tujiulize hivi wewe kama ni mtu mwema makonda kafanya lipi baya? Rc makonda anamakusudi ya dhati ya kuliweka jiji safi na kwa hilo nauhakika atafanikiwa, asigeuke nyuma kamwe.
Ana mpango wa dhati wa kuwasaidia vijana kupata ajira na kuwatengenezea fursa mbalimbali, Je atawezaje Pasipo kuwa na Takwimu ya wasio na ajira? Wapinzani wanajuwa kabisa endapo atafanikiwa yote anayoyafanya, ni dhahiri kabisa upinzani utakuwa umekufa. Watuambie ni nani anafaa mwingine zaidi ya Makonda?
Eti sasa hivi wanasema bora ya aliyekuwa mkuu wa mkoa MECKY SADICK, Jiulize alipokuwepo mbona walimponda? Waogopeni hao wanafiki Makonda tunamwamini ataendelea kuziba mianya ya waharifu bila uwoga. Naomba mtambue kwamba Wapenda uharifu,wakwepa kodi na Mashoga hawapendezwi na utendaji wa Mkuu wetu mtukufu; MAKONDA GO! GO! GO! Wengi tukonyuma yako.
WALIOZOEA VYA KUNYONGA SASA HIVI VYA KUCHINJA KWAO NI HARAMU NI WA KUPUUZWA