Wenye Mimba 1900 Warejea Shule.Mama Apewe Maua Yake.

Wenye Mimba 1900 Warejea Shule.Mama Apewe Maua Yake.

Usisahau na waliopewa nafasi ya kurudia mara wanapofeli mitihani yao kitaifa. Mama kwenye hilo hakika aliona mbali sana.
 
Kuoa mtoto wa shule ni marufuku
Kwa hiyo tunaruhusu nini na kukataza nini wakati vitendo vyote hivyo vinaathiri maendeleo ya mtoto wa kike. Mimba mzigo wanatwishwa wazazi kulea kijukuu wakati mtoto wao anarudi shule. Ndoa mzigo unakuwa kwa mme tu hata kama atapata uja uzito, au?
 
Back
Top Bottom