S Senator p JF-Expert Member Joined Oct 27, 2011 Posts 282 Reaction score 43 Nov 8, 2011 #1 Mchungaj alikua akihubili,akasema hv:Siku ya mwisho kutakua na vilio na kusaga meno.Kulikua na wazee wenye mapengo wakarukaruka na kusema aleluyah,ahimidiwe bwana mungu wa majesh tumenusulka.
Mchungaj alikua akihubili,akasema hv:Siku ya mwisho kutakua na vilio na kusaga meno.Kulikua na wazee wenye mapengo wakarukaruka na kusema aleluyah,ahimidiwe bwana mungu wa majesh tumenusulka.
Going Concern JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 1,071 Reaction score 1,213 Nov 8, 2011 #3 ila kwenye vilio wajapona au?
THK DJAYZZ JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 2,166 Reaction score 175 Nov 8, 2011 #4 Khaaaa what this