Tangu itoke muziki tayari wabongo wanaona ameiva tayari kupambanishwa na mond! Wengine wote wameshasahaulika!Nani kukuambia DARASA Ndio mkali wa Bongo?
Kanye na Jay Z hawako kwenye mtandao wa kijamii hata mmoja
Nimeshaanga sana Leo.. Sijawahi kujua kuwa anamfollow mtu mmoja tu Instagram...
Cha kushangaza Hayupo katika Top 5.. Kazidiwa na Vanessa mdee hata Harmonize anakaribia kumfunika..
What's happening to our King Kiba?
Mashabiki wa domo mnakubali kiaina mfalme... maana kucha kutwa mwamchokonoa na kumfata fata utafikiri watoto wa uswahilini vile
Umeishiwa vitu vya kushangaa? Wabongo bana...
Nimeshaanga sana Leo.. Sijawahi kujua kuwa anamfollow mtu mmoja tu Instagram...
Cha kushangaza Hayupo katika Top 5.. Kazidiwa na Vanessa mdee hata Harmonize anakaribia kumfunika..
What's happening to our King Kiba?
Acha kudanganya Kanye West ana akaunti TwitterKanye na Jay Z hawako kwenye mtandao wa kijamii hata mmoja
Umejiunga lini?View attachment 451017View attachment 451018wewe mwenyewe nimekuzid uchangiaji jamii forum vp umepungukiwa nini mm kukuzid uchangiaji vp kesho hautakulaa