Mbrazili
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 649
- 90
Mara ya kwanza nilivyoliona hili tangazo la jkt nilifurahia kwa kuwa nilijua si miongoni mwa wale watakaoenda kupiga kwata......lakini baada ya kukaa na kufikiria vizuri nimebaki na maswali mengi yanayokosa majibu kichwani.......
1.kwanini sisi tuachwe ina maana hatujafaulu ama nini???
2.hisia zangu tu zinaniambia kama kuna favour ya aina yoyote ile basi sie vilaza hatuhusiki,akili yangu ikagota moja kwa moja kwenye mkopo...si utani walioenda depo watafikiriwa zaidi yetu na tuliobaki tutapata makombo yatayobaki kutoka kwaooo....nawaza tu...
SASA HAPA NDO NAJIONA KABISA MI NIMEFELI NA KILE KILIO CHANGU SIKU YA MATOKEO KILIKUWA NI SAHIHI NA YULE NDO REAL ME, SIYE MIE WA SASA HIVI NAYEJIPA MOYO ETI NIMEFAULU