Wenye div 3 kuachwa jkt ni ishara mbaya

Mbrazili

JF-Expert Member
May 7, 2013
649
90
Mara ya kwanza nilivyoliona hili tangazo la jkt nilifurahia kwa kuwa nilijua si miongoni mwa wale watakaoenda kupiga kwata......lakini baada ya kukaa na kufikiria vizuri nimebaki na maswali mengi yanayokosa majibu kichwani.......
1.kwanini sisi tuachwe ina maana hatujafaulu ama nini???

2.hisia zangu tu zinaniambia kama kuna favour ya aina yoyote ile basi sie vilaza hatuhusiki,akili yangu ikagota moja kwa moja kwenye mkopo...si utani walioenda depo watafikiriwa zaidi yetu na tuliobaki tutapata makombo yatayobaki kutoka kwaooo....nawaza tu...

SASA HAPA NDO NAJIONA KABISA MI NIMEFELI NA KILE KILIO CHANGU SIKU YA MATOKEO KILIKUWA NI SAHIHI NA YULE NDO REAL ME, SIYE MIE WA SASA HIVI NAYEJIPA MOYO ETI NIMEFAULU
 
Mbona sie wa three science tunaenda depo!! Aaaah nimekumbuka kumbe three ya science ni one ya art
 
Mtakoma na mathree yenu sidhani kama hata mkopo na vyuo mtapata ngoja mi na two yangu safi tena ya sayansi niende zangu kambi ya kigoma nikale kwata langu la nguvu,masomo yenu rahisi lakini bado mnapata three! Teh teh teh kuanzia tar 25 juni ukiona fm6 mtaani ujue kala four au zero nikisema zero hapo naomba mnielewe nime include hadi three za art kwi kwi kwi!
 
mkuu unakosea kusema hvyo
 
Nyie kapotezeni muda huko kwenye kwata mi jamaa ya art yenye three na four inajijenga mtaani mkirudi lazima iwaajiri tena mtakuwa na maadili kweli ya kazi.
 
mkuu mie sio form six lakini si vizuri kuwaambia hivyo wenzio lakini siku zote mwenye uwezo hajinadi mara nyingi wale wasio na uwezo ndo huwa kama hivi.bila shaka we hata hiyo three yenyewe hujafikisha bisha!.
 
mtakoma na mathree yenu sidhani kama hata mkopo na vyuo mtapata ngoja mi na two yangu safi tena ya sayansi niende zangu kambi ya kigoma nikale kwata langu la nguvu,masomo yenu rahisi lakini bado mnapata three! Teh teh teh kuanzia tar 25 juni ukiona fm6 mtaani ujue kala four au zero nikisema zero hapo naomba mnielewe nime include hadi three za art kwi kwi kwi!

two unaona umefaulu mwenyewe! Lol haya, tutaona mengi hapa
 
Mtakoma na mathree yenu sidhani kama hata mkopo na vyuo mtapata ngoja mi na two yangu safi tena ya sayansi niende zangu kambi ya kigoma nikale kwata langu la nguvu,masomo yenu rahisi lakini bado mnapata three! Teh teh teh kuanzia tar 25 juni ukiona fm6 mtaani ujue kala four au zero nikisema zero hapo naomba mnielewe nime include hadi three za art kwi kwi kwi!

Pole kwa kupata II,wenzio wanachekelea na I zao tena za point 6.
 
Mtakoma na mathree yenu sidhani kama hata mkopo na vyuo mtapata ngoja mi na two yangu safi tena ya sayansi niende zangu kambi ya kigoma nikale kwata langu la nguvu,masomo yenu rahisi lakini bado mnapata three! Teh teh teh kuanzia tar 25 juni ukiona fm6 mtaani ujue kala four au zero nikisema zero hapo naomba mnielewe nime include hadi three za art kwi kwi kwi!

mkuu we rofa tu wanaopata two zao hawajisifii! We hujahitimu hata form six bila shaka utakua mmoja wa waliochora zombie form four!
 
Mara ya kwanza nilivyoliona hili tangazo la jkt nilifurahia kwa kuwa nilijua si miongoni mwa wale watakaoenda kupiga kwata......lakini baada ya kukaa na kufikiria vizuri nimebaki na maswali mengi yanayokosa majibu kichwani.......
1.kwanini sisi tuachwe ina maana hatujafaulu ama nini???

2.hisia zangu tu zinaniambia kama kuna favour ya aina yoyote ile basi sie vilaza hatuhusiki,akili yangu ikagota moja kwa moja kwenye mkopo...si utani walioenda depo watafikiriwa zaidi yetu na tuliobaki tutapata makombo yatayobaki kutoka kwaooo....nawaza tu...

SASA HAPA NDO NAJIONA KABISA MI NIMEFELI NA KILE KILIO CHANGU SIKU YA MATOKEO KILIKUWA NI SAHIHI NA YULE NDO REAL ME, SIYE MIE WA SASA HIVI NAYEJIPA MOYO ETI NIMEFAULU

mbona walienda wa arts afu kuna watu wa eca hawajaenda..xo kitu hki kwa zamu..na chuo nackia mwezi january
 
Mtakoma na mathree yenu sidhani kama hata mkopo na vyuo mtapata ngoja mi na two yangu safi tena ya sayansi niende zangu kambi ya kigoma nikale kwata langu la nguvu,masomo yenu rahisi lakini bado mnapata three! Teh teh teh kuanzia tar 25 juni ukiona fm6 mtaani ujue kala four au zero nikisema zero hapo naomba mnielewe nime include hadi three za art kwi kwi kwi!

Nenda katujengee nchi hukooo...kakate magogo ulime mashamba na ukirudi hapa uwe na utii sawa????..... viduku tuachieni sie wahuni....kwa mwezi 50000 so aproximately aftet 3 month utaingiza only laki na nusu acha c tupige hela kwa muhindi sports betting na maisha yanaenda kama daweeeeez
 
Nyie kapotezeni muda huko kwenye kwata mi jamaa ya art yenye three na four inajijenga mtaani mkirudi lazima iwaajiri tena mtakuwa na maadili kweli ya kazi.
....mwambie huyoooooo......kukesha na chand akeshe yeye jeshini aende yeyeeeeee chuo tunaenda woteeee....majanga mbona majangaaaaaa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom