Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
Karibu sana kaka, Sory nilikuwa sipatikani humu kwa muda kidogo.Mkuu huwa nakutafuta sana
Karibu sana kaka, Sory nilikuwa sipatikani humu kwa muda kidogo.Mkuu huwa nakutafuta sana
Nakuja PMKaribu sana kaka, Sory nilikuwa sipatikani humu kwa muda kidogo.
Hivi izo pesa unapokea kwanjia gani kukufikia au kunahatua gan unazfuata kupokea mpunganilikuwa najiuliza kila siku hawa propellerads wana taka ads za wapi ili kupiga pesa na kila nikijaribu kuuliza naambiwa ni south ila jinsi ya kushare hadi leo sijajua na nimebahatika kupata email kwenye inbox yangu.
unaweza angalia hapa na ukajua sehemu nzuri za ku target na kuwapata hao views ili upige mpunga zaidi. peace.
DONT 4GET is NEXT YEAR
kama una chochote usiogope ku share kwenye comment
View attachment 740752 View attachment 740753
ziko njia nyingi mkuu kama hizo hapo chiniHivi izo pesa unapokea kwanjia gani kukufikia au kunahatua gan unazfuata kupokea mpunga
shukran brother
update chiefNiko naanzaView attachment 1172221