Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Watu wote wenye kuitaji ushauri binafsi wa biashara ni pm tufanye biashara kwa garama ndogo. Malipo ufanyika kwa Tigo au mpesa katikati ya ushauri na mwisho wa ushauri. Biashara yeyote natoa ushauri kama kwenye biashara upati Wateja unaotarajia kuwapata, faida ndogo, unaibiwa na mfanyakazi wako bila kujua, upotevu wa mtaji na wateja na jinsi ya kufanya wazo lako la biashara liwenamafanikio na tofauti yani la kipekee. Kwa msaada wa juujuu comment kwenye Uzi swali lako.
Note: kiundani zaidi njoo pm kibiashara
Note: kiundani zaidi njoo pm kibiashara