Inabidi uache kujilipua namna hiyo,usipobadili tabia kuna siku utanasa
kiranga, wakati huo sikuwa na hofu ya Mungu sana, na kwa matendo yangu hayo machafu na jinsi nilivyonusurika, Mungu alikuwa ananipa onyo, nimemrudia, nimetulia,no more usinzi
Usingedadidisi ungepewa tunda kwa moyo mmoja,dah hatari sanaSio wewe tu mzee nimenusulika kwenye tundu la choo sema niliambiwa ukweli straight ila baada ya kudadisi na mikwara nataka kwenda hospital na wewe ili tuenjoy maisha vizuri basi nikaanza kuambiwa kila kitu,nikasema mungu mkubwa since hapo aisee nimetulia vibaya sana acha kabisa sichezi ovyo tena..hii kitu inaitwa HIV inauwa jamani!!
mmh ndugu hongera naona mungu ana mpango na ww jaman.Wa pili mwaka 2004 tulifika kabisa kitandani tunataka kuanza, nikapigiwa simu ya msiba, tukaahirisha, baada ya msiba nikakumbushia, akaniambia ameathirika, she is now very sik, bed riden, namtembeleaga. verry sory of her.
Recently nilikutana na kijana, anadai yeye hapati ukimwi. Aliishi na mdada akiwa chuo for 3 yrs, na wakapima ukimwi kama mara 3. Dada anao na yeye hana, ila anadai mara ya kwanza mdada alimuomba msamaha wakaendelea na mapenzi kwa kinga. Then akaamua hataki tena condoms. In the end wana mtoto wa 4 yrs, but waliachana coz mdada ni kicheche. Namfuatilia huyu jamaa tufanye utafiti, either hana binding factor kwa hiv virus or if it is lucky nadhani nyota yake tukiitoa copy itauzika,lol
Mimi ishawahi nitokea nadhan kama mnakumbuka kuna post nlipost hapa kuhusu tukio kati yangu na dada flani. Thanks God yuko alive na anaendelea vizuri.
mmh ndugu hongera naona mungu ana mpango na ww jaman.
nways usimkatishe tamaa jaman huyu mungu we2 aliyetokea kukupenda na kukuepusha na mabalaa ya dunia hii, imean u2lie daima uache kuruka ruka nikuambie 2 ukiruka tena unalo ilo.
Wa pili mwaka 2004 tulifika kabisa kitandani tunataka kuanza, nikapigiwa simu ya msiba, tukaahirisha, baada ya msiba nikakumbushia, akaniambia ameathirika, she is now very sik, bed riden, namtembeleaga. verry sory of her.
Na hata mara hiyo hukuwa na Condoms?????:A S embarassed:
Una moyo wewe, yaani una kitu kipya kitandani unapigiwa simu unapokea?
Nilishakuwa na uzoefu kama huo,nlitana na dem moja chuo kama miaka mitatu 2takazoeana siku moja nkamtembelea chumbani kwake na mates wakawa wanaenda club tukabaki wawili akaomba nimpecompany hadi rafiki zake warudi kwenye saa nane akaanza vibweka kama anapresha nkamvua nnamsponji nkataka kuduu ndo akaniambia anagoma nlichoka mana nkaanza kukumbuka vitu flani ambavyo vilinipa ushahidi tosha alikuwa anatumia ARV's.Tuache hii mambo tukakwisha!