Wenye akili CHADEMA wapo kimya


Kwa hiyo wewe kosa umeliona upande mmoja tu wa ZZK kumwaga mboga? Na hao waliomwaga ugali? duuu hivi watanzania tumefikia hapa?
 
Wewe ndio mpuuzi,kama hapo mwanzo uliwaona vichwa na sasa umewadharau basi kichwa chako kimejaa funza,yaani ualinganisha fikra zako na Prof Safari,Lisu,Marando na Mnyika?Wewe kweli unatania!
 

Chadema ni Ccm A na Ccm yenyewe imeshakuwa namba mbili. Yaani maovu ya CDM kwasasa ni zaidi ya wale CCM.
 
Anayefanya mambo kwa kubabaisha utamjua tu, mjinga utamjua tu. Hayo ndio maneno sahihi ya kuwaeleza kina Msigwa, Mnyika , Lissu na wengineo kama wapo lakini kifupi wamejimaliza kisiasa wamekubali kutumika kama mbwa kukamata mtu anayepita wakati mwenye mbwa katulia ndani. Tunahoji uwezo wao wa kifikra na kiutambuzi wa kuchanganua mambo. Hawajiulizi kwa nini viongozi wenzao tena wakubwa kimamlaka, kiumri, wanaoheshimika sana wamejiweka pembeni na mgogoro huu. Imekula kwenu kama hamkutambua wananchi wanataka nini. kwishiney Mnyika kwishney Lissu
 
mkuu halima mdee sio kwamba amekaa kimya kwa kupenda, bali ameambiwa uchaguzi ujao atagombea josephine mshambushi jimbo la kawe kupitia chadema. kwa hiyoanajua hana chake.
 
mkuu halima mdee sio kwamba amekaa kimya kwa kupenda, bali ameambiwa uchaguzi ujao atagombea josephine mshambushi jimbo la kawe kupitia chadema. kwa hiyoanajua hana chake.
Whaat? I can't buy this. Kwa hiyo wakati tunalalamika mkuu wa wama kuwa mjumbe huko ccm, na sisi tunakaribisha upuuzi huohuo. This is too much ikitokea. By the way, ana wasiwasi gani? Tuliona mfuko sawa kwa wote, sasa tuna wanawake na maendeleo, na yeye si atakuja kuanziasha ya kwake ".......ni zamu yao"; kwa hiyo atulie tu haipendezi kujazana families kwenye vyama utadhani ni saccos.
 
Wewe ndio mpuuzi,kama hapo mwanzo uliwaona vichwa na sasa umewadharau basi kichwa chako kimejaa funza,yaani ualinganisha fikra zako na Prof Safari,Lisu,Marando na Mnyika?Wewe kweli unatania!

Ungeandika bila kutukana ningekuona huna funza kichwani, ila mpaka hapo umedhihirisha kuwa ni hamnazo. Kwani prof Safari, Lissu, Marando na Mnyika ni nani? si ni binadamu tu waliopitia shule kama wengine tu. Sasa waongee pumba bado niwaone sawa eti kwa kuwa wao ni pro Safari, Lissu, Marando na Mnyika. Anyway, ukikua utaacha!
 

Mtabwabwaja sana lakn ukweli upo palepale,wasaliti wamefukuzwa! kamati kuu imetenda kazi yake iliyotukuka!
 

Unasumbuliwa na ushabiki wa kijinga!
 
mkuu halima mdee sio kwamba amekaa kimya kwa kupenda, bali ameambiwa uchaguzi ujao atagombea josephine mshambushi jimbo la kawe kupitia chadema. kwa hiyoanajua hana chake.

Akili za misukule utazijua tu! huna jipya kachukue buk7 lumumba
 
Sasa kuna mtu amekulazimisha kuongea?
Mbona povu kubwa sana umekunywa sumu
Tukupe maziwa fresh nayo ni CDM
Mpango mzima usisikilize wahuni na
Wasaliti.
 
Unasumbuliwa na ushabiki wa kijinga!

Heri yako wewe mwenye ushabiki wa AKILI uliyeishia kuandika sentensi moja bila hata kutoa sababu ya kwa nini unasema hivyo, pole sana lakini.
 
jina lenyewe una tania ililkujua kuwa chadema inakufa njoo huku Nyasura Bunda uone maana CCM hawana mgombea katika kata hii kisa watu wote wana iamini chadema endeleeni na siasa zenu za jamiiforums huku chadema wana pasua anga ndio mtajua kuwa siasa si kwenye keyboard
 

Umemsahau Wenje mkuu! Jamaa kakaa kimya hii safi sana!
 

Huo mchanganyiko ulikuwa haumfai Zitto, wakati wenzake wanadhamira ya dhati ya kuleta mabadiliko, kumbe ZZK anawasanifu! Snitch mkubwa yule bwana, bora ajitenga wamwache Lissu na Mnyika waendeleze libeneke, yeye limemshinda kwa tamaa!

Hivi wewe hujiulizi ZZK alitoa wapi jeuri ya kutangaza kuwa hatogombea tena ubunge Kigoma, alikuwa anajua kuwa dhamira yake ya kukisambaratisha chama itakuwa imetia, bahati njama zake zimejulikana kabla hajatekeleza dhamira yake!
 
kasome katiba ya chama ukomo wa wa uanachama ile ibara ya 5.4.3 wewe kilaza,muulize Zitto mara ya mwisho kufika pale ofisini kwake ofisi ya chama Ufipa,kumbuka mfadhili wa kina mwampamba na Juliana,then uniambie kwanini alikuwa hashiriki oparation zote kubwa na wenzie hata uzinduzi tu wa oparation,kuhusu suala la matumizi mabaya ya fedha ambayo nyinyi kama propaganda yenu kuu yalishatolewa ufafanuzi na mkurugenzi wa fedha Komu muda mrefu na nyalaka mkaonyeshwa na hakuna matumizi ya chama yoyote yaliyotumika bila kufuata chanell tena kwa maagizo ya chama na si Mbowe kama unaushahidi kuna matumizi mabaya ya fedha za chama zilizotumika nje ya maagizo halali ya vikao vya chama onyesha tena kwa ushahidi wa document za manunuzi.Nionacho kwako unaijua CHADEMA ya magazetini tena ya uhuru na mzalendo na TBC CCM sumbua kichwa ndugu usipende vitu rahisirahisi.
 


Unaliza kondomu zilizotumika kwenye viwanja ulipokesha mwenge?

Kama huyajui madhambi ya Zitto siwezi kukushangaa kwakuwa hata M/kiti wa ccm Taifa hajui kwanini watz ni masikini wakati waandamizi wake wana utajiri usioelezeka.
 

Kua ukuwe, hata kama huyo zitto ni msaliti lakini utakuwa ni ujuha wa aina yake kama hautotambua uwezo wa Zitto katika kuchambua na kuzungumzia hoja mbalimbali. Ni ujuha wa kutotambua hilo, regardless what is going now, but the guy is smart-equal weight with Myika and Tundu Lissu. Haya ni kwa mujibu wa uhalisia ambao upo kwenye ushahidi mbalimbali. Hizo za usaliti ni hearsay ambazo imeshindikana kuziaminisha kwa jamii yote ya watanzania (at least). Unadhani kinachoendelea sasa nini? Kwani CDM ni mara ya kwanza kufukuza wanachama wake? Mbona hatukuona mtikisiko kama huu? Ni kwasababu Zitto amejenga uimara madhubuti miongoni mwa watanzania, ni hali kama hiyo siku utakayoskia mtu kama Tundu lisuu anafukuzwa au anaondoka chamani. Tuache hisia badala yake nyeupe tuite nyeupe.
 
Wewe Nyakanazi kwa hoja ni mwepesi sana kama ukuni, nikwambie sasa, hata ukioa alafu ukaacha kesho kamwe hauwezi ukalinganishwa na yule ambaye hajawahi kuoa na ndo maana huwa tunauliza umewahi kuoa hata siku 1? ndoa hata ya siku 1 kukaa na mwanamke si sawa na kula pipi

Sasa kama haujaoa ama haujawahi hauwezi kamwe ukawa kundi 1 na wengine, kwasababu bila hivyo kuna vitu wanaume wenzio watakudharau utake usitake,huyu dogo anakosa hilo daraja ndo maana anabwatuka hovyo ...ya ndani ni ya ndani kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…