Nadhani mtoa hoja tungekupongeza sana kama ungekuja na njia mbadala ya kushugulikia chanzo cha mgogoro ndani ya CHADEMA; ambao kila mmoja anatambua kuwa ni "usaliti" wa ndg Zitto ndani ya chama.
Wewe kama mtu mwenye akili, weledi na busara ni vizuri kushauri bila upendeleo ili kukinusuru chama; ila ni wazi kabisa kwamba dawa pekee ya usaliti ni kutimua.
Huwezi kuvumilia pale unapo hujumiwa. Ushahidi wa kutosha uko wazi jinsi Zitto alivyo tumiwa na wabaya wa CHADEMA ili aue chama.
Kama naye alikuwa na tuhuma dhidi ya Mbowe, mbona kakaa kimya siku zote aje kufunguka leo baada ya kuchinjiwa baharini? Si angeongea mapema akiwa bado na heshima zake ndani ya chama ili watu wamwelewe na kuchangia hoja?
Kumbukeni Zitto analeta janja ya kuku kuwa na nguvu nyingi z kutaka kuruka na kukimbia mara tu akishakatwa kichwa.

Kwa hyo akina mnyika, lissu, msigwa na wengne wamepoteza credibility kwako kisa ya kuwa mbele ishu ya zit to, hicho sasa ndo kinawafanya wawe roll model ya watu weng nchini...kuna haja gan ya kunyamaza wakat mambo hazieleweki?
Hii yote ni mitazamo tu. Kama ni kweli kuna usaliti amekuwa akifanya kwa chama chake awajibike,mengine yote ni mbwembwe tu. Kwasababu kimsingi hakuna jamii au jumuia inayokubali wasaliti. Cha msingi ni kuwa zzk apewe haki ya kusikilizwa na kujitetea na hatua zingine zifuate.
kukaa kwake kimya inaonesha busara ya hali ya juu kwa kiongozi na alijua kufanya hivyo ni kukiua chama, ndo maana akaamua atumie njia mbadala ya kumuondoa mhusika bila kumchafua kupitia kapu la kura. huelewi nini sasa hapo? just a common sense.Nadhani mtoa hoja tungekupongeza sana kama ungekuja na njia mbadala ya kushugulikia chanzo cha mgogoro ndani ya CHADEMA; ambao kila mmoja anatambua kuwa ni "usaliti" wa ndg Zitto ndani ya chama.
Wewe kama mtu mwenye akili, weledi na busara ni vizuri kushauri bila upendeleo ili kukinusuru chama; ila ni wazi kabisa kwamba dawa pekee ya usaliti ni kutimua.
Huwezi kuvumilia pale unapo hujumiwa. Ushahidi wa kutosha uko wazi jinsi Zitto alivyo tumiwa na wabaya wa CHADEMA ili aue chama.
Kama naye alikuwa na tuhuma dhidi ya Mbowe, mbona kakaa kimya siku zote aje kufunguka leo baada ya kuchinjiwa baharini? Si angeongea mapema akiwa bado na heshima zake ndani ya chama ili watu wamwelewe na kuchangia hoja?
Kumbukeni Zitto analeta janja ya kuku kuwa na nguvu nyingi z kutaka kuruka na kukimbia mara tu akishakatwa kichwa.
Huyu ZZ ni papai lisilo na mbegu,kwanini? akitaka asome asipotaka aache pia huyu msomi asiyejitambua
1.Ajikwezaye hushushwa na ajishushaye ukwezwa (Biblia)
2.Wanasema ukishindwa ndoa kama una akiri timamu madhaifu ya ndoa kamwe yabaki ni siri yenu ..si busara wala hekima popote pale ukaanze kumsema kasoro za uliyeachana naye,ni utahira tena kwa msomi huyu ni papai(yawezekana ndo maana hajaoa ndo chanzo cha kijana huyu kukosa busara ktk jamii)
3.Siasa si uadui kamwe kama anavyofanya (ajifunze kijana huyu)
Swala la chadema kuyumba sikweli ni propaganda zako sasa kama kudhibiti wahaini wasaliti tena kwa ushahidi wa waziwazi ni udictetor basi huyo Zitto na genge lake la wahuni waje kwenu magamba ambo nyinyi si madictetor wayafanye hayo uone kama watapona.Ni Lazima niseme ukweli kuwa CHADEMA imeyumba mno na kama jitihada za makusudi hazijafanyika basi hiki chama kinakufa rasmi.
Haya Madudu ya akina Mbowe yanayoendelea kuanikwa na kutolewa utetezi usioeleweka yananifanya mimi niliyekuwa naichukia CCM nianze kutafakari upya kwani kwa sasa SIONI TOFAUTI YA CCM na CHADEMA (na huenda CHADEMA wanaweza kuwa hatari zaidi).
Nimefuatilia kiasi kauli za wabunge wa CHADEMA [ambao ndiyo wanafahamika sana] wakiongea kuhusu swala la Kitila, ZZK, Mwigamba -kwa kweli nimesikitika sana. Nimesikitika kwa kuwa mwanzoni niliwaona wabunge hawa kuwa vichwa ila kwa sasa nawaona viumbe hatari sana.
Ukiachilia mbali mbunge Lema ambaye yeye amekuwa haeleweki vema kwenye baadhi ya kauli zake kwa muda mrefu sasa, Mnyika, Mch. Msigwa na Lissu kwa kweli wameharibu CV zao vibaya mno kwa utumbo waliouongea kuhusiana na mgogoro unaofukuta Chadema. Sikuamini mtu kama Mnyika, Msigwa na Lissu wanaweza ku-support udikteta wa akina Slaa na Mbowe (na wengine wote) wa kuwaona wahaini watu ambao wanamawazo mbadala wa namna ya kumpata kiongozi wa chama. Mnyika ndo niliyekuwa namwamini sana lakini naye kajitosa kwenye siasa za ki-imla hata sijui kwa sababu gani.
Naomba nichukue fursa hii kuwapongeza wabunge na wanachama mahsusi wa Chadema ambao at least wameonyesha akili kwa kukaa kimya.
Ndiyo, pamoja na kwamba kukaa kimya wakati madudu yanaendelea ni unafiki, lakini ni heri ukae kimya uonekane una-akili kuliko kuongea ku-support madudu. Pongezi hizi ziende kwa Mbunge Joshua Nassari, Mbunge Halima Mdee, Wakili Mabere Marando, Prof. Safari na wengine wote ambao wamesahaulika wakati wa kutoa maoni haya.
UPDATES
Wakili Mabare Marando na Prof Safari nimewatoa rasmi kwenye list ya kupongezwa baada ya kusoma gazeti la Mtanzania wakisema wanaunga mkono maamuzi ya kamati kuu ya Chadema kwa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya wale wanaoitwa wahaini. Vituko havitaisha Tanzania!
Wewe ni nani humo au kati ya waliotajwa unayeogopa kumalizwa kwa uhalisia unalinda maslahi yako?Wachache sana wenye uwezo wa kuelewa mambo kwa kina wanafahamu kinachoendelea ndani ya cdm. Vita vikali kati ya demokrasia yakweli na uhafidhina.
Kukaa kwangu kimya, kunatokana na kuamini kuwa viongozi wa sasa wa cdm hawana tofauti yoyote na viongozi wa ccm.
Ni ufisadi mtupu, uhuni na uporaji wa wake za watu, kupiga vita mawazo mbadala yenye tija na mwelekeo wa kuleta demokrasia ndani ya chama huku wakiendelea kudanganya watanzania masikini kuwa ndio chama cha ukombozi.
Ndugu mtanzania amini toka moyoni kuwa hakuna chama chochote cha kisiasa mpaka wakati huu, hapa Tanzania kilicho tayari kukukomboa. Pambana kwa kadri uwezavyo lakini tumaini lako lisiwe kwenye chama chochote.
Vyama vyote ni njaa tu. Wote wachumia tumbo. Na ukigusa kwenye masilahi yao lazima wakumalize.
chadema, haifiiii hata siku moja
Huyu ZZ ni papai lisilo na mbegu,kwanini? akitaka asome asipotaka aache pia huyu msomi asiyejitambua
1.Ajikwezaye hushushwa na ajishushaye ukwezwa (Biblia)
2.Wanasema ukishindwa ndoa kama una akiri timamu madhaifu ya ndoa kamwe yabaki ni siri yenu ..si busara wala hekima popote pale ukaanze kumsema kasoro za uliyeachana naye,ni utahira tena kwa msomi huyu ni papai(yawezekana ndo maana hajaoa ndo chanzo cha kijana huyu kukosa busara ktk jamii)
3.Siasa si uadui kamwe kama anavyofanya (ajifunze kijana huyu)
Ni Lazima niseme ukweli kuwa CHADEMA imeyumba mno na kama jitihada za makusudi hazijafanyika basi hiki chama kinakufa rasmi.
Haya Madudu ya akina Mbowe yanayoendelea kuanikwa na kutolewa utetezi usioeleweka yananifanya mimi niliyekuwa naichukia CCM nianze kutafakari upya kwani kwa sasa SIONI TOFAUTI YA CCM na CHADEMA (na huenda CHADEMA wanaweza kuwa hatari zaidi).
Nimefuatilia kiasi kauli za wabunge wa CHADEMA [ambao ndiyo wanafahamika sana] wakiongea kuhusu swala la Kitila, ZZK, Mwigamba -kwa kweli nimesikitika sana. Nimesikitika kwa kuwa mwanzoni niliwaona wabunge hawa kuwa vichwa ila kwa sasa nawaona viumbe hatari sana.
Ukiachilia mbali mbunge Lema ambaye yeye amekuwa haeleweki vema kwenye baadhi ya kauli zake kwa muda mrefu sasa, Mnyika, Mch. Msigwa na Lissu kwa kweli wameharibu CV zao vibaya mno kwa utumbo waliouongea kuhusiana na mgogoro unaofukuta Chadema. Sikuamini mtu kama Mnyika, Msigwa na Lissu wanaweza ku-support udikteta wa akina Slaa na Mbowe (na wengine wote) wa kuwaona wahaini watu ambao wanamawazo mbadala wa namna ya kumpata kiongozi wa chama. Mnyika ndo niliyekuwa namwamini sana lakini naye kajitosa kwenye siasa za ki-imla hata sijui kwa sababu gani.
Naomba nichukue fursa hii kuwapongeza wabunge na wanachama mahsusi wa Chadema ambao at least wameonyesha akili kwa kukaa kimya.
Ndiyo, pamoja na kwamba kukaa kimya wakati madudu yanaendelea ni unafiki, lakini ni heri ukae kimya uonekane una-akili kuliko kuongea ku-support madudu. Pongezi hizi ziende kwa Mbunge Joshua Nassari, Mbunge Halima Mdee, Wakili Mabere Marando, Prof. Safari na wengine wote ambao wamesahaulika wakati wa kutoa maoni haya.
UPDATES
Wakili Mabare Marando na Prof Safari nimewatoa rasmi kwenye list ya kupongezwa baada ya kusoma gazeti la Mtanzania wakisema wanaunga mkono maamuzi ya kamati kuu ya Chadema kwa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya wale wanaoitwa wahaini. Vituko havitaisha Tanzania!
Swala la chadema kuyumba sikweli ni propaganda zako sasa kama kudhibiti wahaini wasaliti tena kwa ushahidi wa waziwazi ni udictetor basi huyo Zitto na genge lake la wahuni waje kwenu magamba ambo nyinyi si madictetor wayafanye hayo uone kama watapona.
huyu zz ni papai lisilo na mbegu,kwanini? Akitaka asome asipotaka aache pia huyu msomi asiyejitambua
1.ajikwezaye hushushwa na ajishushaye ukwezwa (biblia)
2.wanasema ukishindwa ndoa kama una akiri timamu madhaifu ya ndoa kamwe yabaki ni siri yenu ..si busara wala hekima popote pale ukaanze kumsema kasoro za uliyeachana naye,ni utahira tena kwa msomi huyu ni papai(yawezekana ndo maana hajaoa ndo chanzo cha kijana huyu kukosa busara ktk jamii)
3.siasa si uadui kamwe kama anavyofanya (ajifunze kijana huyu)