SHIEKA JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,240 4,262 Apr 26, 2016 #2 Hakuna afya hapo mkuu! Unene wa kupindukia waweza kuwa nyumba ya magonjwa na si afya.
muhomakilo jr JF-Expert Member Jul 28, 2013 14,818 12,880 Apr 26, 2016 #3 Hayo ni maradhi...pole take.
samsun JF-Expert Member Feb 9, 2014 7,386 5,962 Apr 26, 2016 #4 Si makosa yake,bali ni kasoro za kimaumbile na inawezekana hata akikaa mwezi bila ya kupeleka kitu chochote tumboni bado hatopungua kivile.
Si makosa yake,bali ni kasoro za kimaumbile na inawezekana hata akikaa mwezi bila ya kupeleka kitu chochote tumboni bado hatopungua kivile.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,697 729,849 Apr 26, 2016 #5 samsun said: Si makosa yake,bali ni kasoro za kimaumbile na inawezekana hata akikaa mwezi bila ya kupeleka kitu chochote tumboni bado hatopungua kivile. Click to expand... Photoshop
samsun said: Si makosa yake,bali ni kasoro za kimaumbile na inawezekana hata akikaa mwezi bila ya kupeleka kitu chochote tumboni bado hatopungua kivile. Click to expand... Photoshop
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,697 729,849 Apr 26, 2016 #6 Tulimumu said: Click to expand... Wacheza sumo ni wanene lakini si kwa kiwango hicho Tulimumu Hii picha imetengenezwa, kwa unene huo huyo ni mtu wa kulala muda wote
Tulimumu said: Click to expand... Wacheza sumo ni wanene lakini si kwa kiwango hicho Tulimumu Hii picha imetengenezwa, kwa unene huo huyo ni mtu wa kulala muda wote
Turnoff JF-Expert Member Mar 11, 2016 695 777 Apr 26, 2016 #7 Nimeiangalia hii picha hata cjaielewa,hivi amechutama au amekaa
nsanzu JF-Expert Member Jul 29, 2015 4,636 5,335 Apr 26, 2016 #8 Mbona kakaa ka chura? Amesimamaa, kachuchumaa?
GIUSEPPE JF-Expert Member Dec 31, 2011 5,239 6,218 Apr 27, 2016 #12 ydn said: Kiti moto kinahusika hapo!! Click to expand... Je hapa