Kwani Sheria na Kanuni za JF. zinakataza watu wasiokuwa na chama kuchangia humu JF?Sasa mbona uko humu unakimbizana kupinga mambo ya chadema, yanakuhusu nini sasa, kaa kimya waache wanaume wajadiliane mambo yao yanakuwashia nini. Utafikiri kiananihiiiiiii
Huyu Mkenya ana jipya watu wameishamchoka na porojo zake. Tena Machinga na kina Mama lishe hawataki hata kumuona.
Ndio maana huo mkutano unafanyika Bugarika, kwa wale ambao hawaijui Mwanza eneo la Bugarika wanakaa wageni kutoka Kenya, Mara, Tarime, Sirali, Nyamongo, huo ndio ukweli kwa mfano Dar es Salaam kila sehemu na watu wake, maeneo ya Kisutu mpaka Posta wakaa Wahindi, Kimara Bonyokwa, Kimara Temboni, Wanakaa Wachagga
wewe mzushi wewe.unadanganya watu umeahidiwa wali au nyama? niko mwanza na naishi bugarika wameimba saa ngapi na sisi hatujawaona?Wakuu
Mbunge wa Nyamagana Ezekia Dibogo Wenje,MB(CHADEMA) leo atakuwepo katika viwanja vya sahara kuanzia muda wa saa tisa alasiri akizungumza na wananchi.Pamoja na mambo mengine atatoa taarifa ya utekelezaji wa mambo kadhaa aliyotumwa na wananchi katika mikutano iliyopita.
Shamra shamra zilianza tangu jana wananchi katika maeneo mbalimbali ya jiji hususani eneo la Bugarika ambapo walikuwa wakiimba wenje wenje mida ya jioni gari la matangazO lilipokuwa likipita wakionyesha furaha yao kwa matengenezo ya barabara yao iliyowatesa kwa kipindi kirefu
Wote mnakaribishwa.
NDOFU,
Mimi sio CCM kwanza tambua hivyo. Mimi sio mtumwa wa vyama vya siasa
Kwani Sheria na Kanuni za JF. zinakataza watu wasiokuwa na chama kuchangia humu JF?
CDM-Kata amekasirika, teh teh teh JF, sio ya CDM wala ya Mzee wako angalia usije ukapasuka MasabariUchangiaji gani huo mpaka kila mtu anakuona kinyesi humu jamvini!
NDOFU,Sasa mbona unaponda chadema na kusifia ccm tu?! Kuhusu Wenje kuwa Mkenya' hv hauoni kuwa wazungu ndio walitugawa hivi hapa Kenya,hapa Tanzania na isingekuwa wao tungekuwa nchi moja Africa,kama kweli umejitambua ni haki kweli kumbagua mkenya aliyezaliwa Tanzani na ukawa upande wa Mwarabu Rostam Aziz? Hata wewe unajua mabaya ya ccm na unatambua kabisa uwezo mdogo wa viongozi wake' hata kama unapinga basi pinga kwa mantiki!
CDM-Kata amekasirika, teh teh teh JF, sio ya CDM wala ya Mzee wako angalia usije ukapasuka Masabari
<br />wewe mzushi wewe.unadanganya watu umeahidiwa wali au nyama? niko mwanza na naishi bugarika wameimba saa ngapi na sisi hatujawaona?
<br />
<br />
acha ujinga ww, ata mkutano unapofanyika ujui alafu unabwabwaja ma upupu yako, sahara iko bugarika? Nadhani we ni mgeni Mwanza.
Sasa mbona unaponda chadema na kusifia ccm tu?! Kuhusu Wenje kuwa Mkenya' hv hauoni kuwa wazungu ndio walitugawa hivi hapa Kenya,hapa Tanzania na isingekuwa wao tungekuwa nchi moja Africa,kama kweli umejitambua ni haki kweli kumbagua mkenya aliyezaliwa Tanzani na ukawa upande wa Mwarabu Rostam Aziz? Hata wewe unajua mabaya ya ccm na unatambua kabisa uwezo mdogo wa viongozi wake' hata kama unapinga basi pinga kwa mantiki!