kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,252
- 16,171
Hata ukikopa utalipa na hela yako. Fedha za mikopo ni hela zako pia. Nilikuwa nikiwakataza wanafunzi wa vyuo wasiziite boom pesa wanazokopeshwa na bodi ya mikopo na kuzitumia ovyo maana hizo ni fedha zao, sehemu ya mishahara yao, watazirejesha. Unapokopa nyumba au Gari hizo ni hela zako lazima Gari ulitunze na kulitumia vizuri.
Wakoloni waliondoka sio kwa huruma zao ama nguvu zetu, hapana, waliondoka baada ya kutengeneza mifumo itakayotoa majibu ya kwanini tulitafuta makoloni. walitengeneza mifumo kwamba lazima kila taifa litakopa tu.
Hivi kwa fedha zetu wenyewe tutawezaji kuhudumia watumishi wa umma na wananchi pamoja na kumaliza miradi ya zamani na mipya? Utawalipaje polisi, usalama na majeshi yetu? au wa nataka Serikali ipinduliwe kilaini kama Karzai alivyopinduliwa na taliban baada ya akutowalipa wanajeshi wake stahiki zao?
Kama marais wengine walikopa basi hata mama Samia Wacha akope pia. Nchi ikiuzwa haitakuwa kwa sababu ya madeni ya Samia, Bali ni kwa sababu ya madeni ya Nyerere, Ali Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli.
Hivi kuna agenda gani? Baada ya akina polepole kugonga mwamba wanajitokeza waliokuwa wamejificha kwenye mashamba ya karanga.