Wengine wamebakwa

MONTESQUIEU

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
847
80
MIMBA ZA WASICHANA WADOGO,

HUWA NYINGI ZINAKUWA HAZIJAPANGWA,

Wengine wamebakwa wakapata mimba,

Wengine wamedanganywa kwa upeo wao wakapata mimba
We Wengine uelewa mdogo juu ya mimba wakapata mimba[/SIZE][/FONT]
Wengine mazingira magumu yanayo wapata katika umri mdogo wanajikuta wamejiingiza katika viendo vya ngono na kuambulia mimba.
Hii hai-justify kuwa hawa wasichana wanaopata mimba ni malaya
Mimba ni kitendo cha dakika moja si kwamba mimba unatakiwa uwe malaya sana
Je wale wasio zaa huwa wanafanya nini wakipata mimba?
Dhana iliyopo kuwa msichana anaye zaa ni malaya......miye kichwa umwa kabsa
Je hapa wana JF nani malaya yule anaye zaa au yule anaye toa mimba ?
 
Watu wengi wamewaweka wasichana wano zaa katika kundi la malaya, hapo mie sielewi malaya ninani
 
Kweli wanaonewa, na uonevu huu inabidi uanzie kwa bwana mkubwa JK..... kwakweli sikufurahishwa alipowalaumu watoto kuwa wanapata mimba kwa kiherehere chao :twitch:!!!!

Ona sasa?laini ndio tuconclude kuwa wao ni malaya?
 
Malaya ni wale ano to mimba . wasichana malya hawazai mkuu!
Washamba ndio wanazaa!
 
"Ni Kiherehere Chao tu" J M Kikwete, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama
 
wanaotoa mimba kama walivyo wanaozipata kwa sababu mbalimbali hata wanaotoa wana sababu zao.....kama kubakwa,kudanganywa,kuwa na magonjwa hatarishi kwa mama na mtoto,kutokuwa tayari kuwa mama,kuwa bado shule,kukimbiwa na baba watoto etc etc
So ni ngumu kumuita mtu malaya,na sdhani kama ni sahihi....unless awe anajiuza kupata hela...lakini mtu anayepata ujauzito na mwanaume kwa bahati mbaya ukimuita malaya pia umemkosea manake malaya yatokana na tendo la ngono so wote wafanyao ngono hata kama hawapati mimba waitwe malaya.....silipendo hilo neno na waiteni wale tu wanaojiuza au kubadili wanaume kama nguo.......
 
Nyuma ya mwanamke yeyote (ashakum si matusi) Malaya yuko mwanaume/wanaume walomfikisha hapo...hivyo wanaume kikombe hiki hakiwezi kutuepuka!....tu wadanganyifu na laghai sana! Waharibifu na tunaoongozwa na tamaa kuliko akili!
 
Ninamuonea huruma anayepata mimba kwa kubakwa na hao tuwasaidie. lakini wengine kwa raha zao tu hata wanasahau kondom au wanajiachia mwanaume ndiye aamue avae au kavukavu. Na mwanamke hajui hata kubeba kondom (in case), ah hiyo ni kiherehere kweli chao; kama ni matatizo hayachagui mke au mume. Na kama mwanaume anaweza akachakarika akajitimizia na kumtimizia mke kwa nini mke asichakarike angalau akajitimizia ya kwake tu ya muhimu. Acha kukaa kungojea tu ya mwanaume. Wote ni sawa tu hata mbele ya muumba kasoro jinsia tu. Badilika.
 
Nyuma ya mwanamke yeyote (ashakum si matusi) Malaya yuko mwanaume/wanaume walomfikisha hapo...hivyo wanaume kikombe hiki hakiwezi kutuepuka!....tu wadanganyifu na laghai sana! Waharibifu na tunaoongozwa na tamaa kuliko akili!

Cha ajabu mwanaume kwa sababu habebi mimba anaonekana yeye ni safi isipokuwa mwanamke.. Na anaitwa eti malaya kwa jili kabeba mimba!
 
Back
Top Bottom