Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,394
ofcoz mbeya ni moja ya mkoa ambao CCM wanakazi nzito.. lakini nawaonea huruma sana watu wa mbeya wakimuamini huyu muimba bongo flava.
Napata kama matumaini hivi watanzania wanaamka!
Mbeya kwa muda mrefu wamekuwa ni wapenzi wakubwa wa CCM, huna haja ya kuwaonea huruma kwani wanajua wanachofanya. Huu ni wakati wa kampeni na haijalishi wingi wa watu katika mikutano ya kampeni kwani watu wa Mbeya wanajua nani na nini cha kufanya.ofcoz mbeya ni moja ya mkoa ambao CCM wanakazi nzito.. lakini nawaonea huruma sana watu wa mbeya wakimuamini huyu muimba bongo flava.
Juzi nilipita Nzovwe nikakuta Mpesya anahutubia kikundi cha watu kama 15 hivi baada ya hapo akakibeba hicho kwenye kilory fulani akaenda kukihutubia tena sehemu nyingine! Jamani kwa mlioko Mbeya Nadhani mkishirikiana na Sugu vyema Jimbo anachukua tena kwa Kishindo
hao watu wanaojaa kwenye mikutano ya CCM ni kwa sababu ya zile burudani za bure za bongo fleva.. Kwa hiyo Muziki wa Bongo fleva unakubalika hilo halina ubishi......Na unapotaja mafanikio ya muziki wa bongo fleva Tanzania bila kumtaja SUGU utakuwa na walakini.. SUGU ni mwanaharakati mwenye fikra za kimageuzi, hao ndio watu tunaowahitaji kwa sasa. Tumechoka na wale wenye fikra mgando waliozoea kufanya vitu kwa mazoea...Mbeya wameamka ni heri wachague huyu muimba bongo fleva atakayewasidia kuliko kuchagua yule anayetaka hiyo nafasi ili aendelea kuwakandamiza wale waliomchagua.
hilo ni jimbo la mbeya mjini, lina utamaduni wake, mahesabu ya kuangalia wanaokufuata na kukushangilia yanaweza kumponza huyo kijana. Swali jee, wapiga kura wa mbeya wanamfahamu? Mpesya anao mtaji tayari, ana ngome nzito pembezoni, katikati kwa wajuaji watagawana lakini nako wengi wa hao wajuaji sio wapigakura. Mpesya, sio mtu wa kumbeza kabisa, anafahamu jinsi ya kuwafikia wapigakura wake, kama mtu anabisha akamulize thom mwang'onda.
hao watu wanaojaa kwenye mikutano ya ccm ni kwa sababu ya zile burudani za bure za bongo fleva.. Kwa hiyo muziki wa bongo fleva unakubalika hilo halina ubishi......na unapotaja mafanikio ya muziki wa bongo fleva tanzania bila kumtaja sugu utakuwa na walakini.. Sugu ni mwanaharakati mwenye fikra za kimageuzi, hao ndio watu tunaowahitaji kwa sasa. Tumechoka na wale wenye fikra mgando waliozoea kufanya vitu kwa mazoea...mbeya wameamka ni heri wachague huyu muimba bongo fleva atakayewasidia kuliko kuchagua yule anayetaka hiyo nafasi ili aendelea kuwakandamiza wale waliomchagua.

Henge, wengi tunatamani mabadiliko ya kweli, hivyo taarifa hizi za matumaini zinatia moyo sana.Wakuu nimetoka mbeya juzi na bahati nzuri nimehudhulia mkutano wa ccm na mbunge wao mpesya uliofanyika uyole - sokoni inasikitisha saaana yaani ukisikia kampeni za maji taka ndo za ccm mbeya mjini, kwanza ulikuwa hauna msisimko kabisa, majungu na matusi mengi na watu hawakuwepo, yaani noma. Si kawaida kwa uyole kutokuhudhulia kikao cha ccm nilishangaa sana, sugu anawachemsha kishenzi!