hujakosea mkuu ni kweli wananchi wanaanza kuamka, lakini itakuwa ni njema sana wakiamka kwa vitendo piaNapata kama matumaini hivi watanzania wanaamka!
akifika na Dr Slaa, sijui halli itakuwaje huko....
Juzi nilipita Nzovwe nikakuta Mpesya anahutubia kikundi cha watu kama 15 hivi baada ya hapo akakibeba hicho kwenye kilory fulani akaenda kukihutubia tena sehemu nyingine! Jamani kwa mlioko Mbeya Nadhani mkishirikiana na Sugu vyema Jimbo anachukua tena kwa Kishindo
Mkuu Ninachozungumza ndicho nilichokiona mkuu na wakiniudhi nitaweka ile picha ya kilory ha ha haduh hiyo ni kali ya mwaka haaaahaaaa kwa hiyo kakundi anakatubia karibu kila mahali?
hahaaaa hebu tupe mkuu tena pengine hako kalori ka mkwenzuruMkuu Ninachozungumza ndicho nilichokiona mkuu na wakiniudhi nitaweka ile picha ya kilory ha ha ha
As you requested mkuu, ila siwezi kuiweka ikaoneka kubwaView attachment 14260
As you requested mkuu, ila siwezi kuiweka ikaoneka kubwaView attachment 14260