Wengi wetu Tumepitia Huku? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wengi wetu Tumepitia Huku?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kakalende, Sep 18, 2009.

 1. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Ni vizuri kukumbuka njia tunayopitia kufikia kilele cha mafanikio kwani tutaihitaji njia hiyohiyo wakati wa kurudi.

  Wabongo wengi ambao sasa havi wanaitwa 'MIDDLE CLASS' na hata baadhi ya Mafisadi Uchwara walipitia hukuhuku kupata elimu yao hatimae wakaweza kuanza maisha.


  [​IMG]

  Musa Mohamed, a Form One student at Gongo la Mboto Secondary School in Dar es Salaam, busy at work at the Kunduchi quarry in the city`s Kinondoni District yesterday. He told our roving photographer that he has to do the work to earn money for buying school requirements.

  SOURCE: Nipashe
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Sep 18, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Enzi hizo nikiwa nilikumbana na mazingira kama haya... But am now tired :(

  [​IMG]
   
 3. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2014
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 6,056
  Likes Received: 7,091
  Trophy Points: 280
  kumbe na wewe ulikuwa muumini wa jukwaa hili
   
Loading...