Wengi wapo kwenye ndoa

Hapana mkuu, ndoa za siku hizi ushenzi mtupu, ni heri kuwa bachela kuliko kujiingiza kwenye shimo la ndoa.
Wewe ndio huna sifa za kuwa kwenye ndoa unalaum wengine tu wewe sifa unazo??
 
Mkuu inaonekana wewe ndio huna sifa ya kuwa kwenye ndoa. Ndoa ni nzuri na ni raha sana.

Hao unaotaka kuwazalisha ndio utapata taabu kila siku utakuja na nyuzi humu za kulalamika.
 
Wape lekcha mkuu, vijana sikuhizi hawataki kuoa/kuolewa, kwa hisia zao wanaona wako sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…