Kama mwalimu unawaza haya acha mkuu wa nchi awanyime nyongeza ya mshahara.Ukitaka kujua upande wapili upoje kagua vizuri jukwaa la mahusiano!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mkuu unataka niwaze vile unataka siyo. By the way nilikuwa mwalimuKama mwalimu unawaza haya acha mkuu wa nchi awanyime nyongeza ya mshahara
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu, yaan ni sheedahUkitaka kujua upande wapili upoje kagua vizuri jukwaa la mahusiano!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe upo kwenye nini ?Asilimia kubwa ya wanawake ambao nimesoma nao, shuleni hawakuwa na mambo mengi, hawakuwa na mvuto kiviile, hawakuwahi kutokea hata kwenye top 20, yaani kiujumla walikuwa washamba washamba hivi.
Leo hii wapo kwenye ndoa.
Hata vijana wangu niliowafundisha, wale ambao darasani walikuwa vilaza, regardless ya personality zao.
Wengi wapo kwenye ndoa.
Sijui kama wanafurahia au laah! Lakini wapo kwenye ndoa zao.
Upande wa pili sasa ni balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mkuu hakuna haja ya kuwasakama single mothers sasa, maana kama unazalisha bila ndoa, tokeo lake ni SINGLE MOTHER sasaNDOA SIO SIFA MKUU NA SIJAONA UMUHIMU WAKE
USISUBUTU KUINGIA HUKO UTAJUTA KILA KUKICHA TUNAWAAMULIA KESI MARA KUCHAPIWA MARA MATATIZO MARA MKE HAPENDI NDUGU ZANGU
SIWEZI INGIA KWENYE ILO SHIMO WE TATUFA WATOTO BASI KUOA WAACHIE WALUGALUGA
NA MDA SI MREFU WATAKUJA KUJIFARIJI HAPA
By the way nilikuwa mwalimu mkuu, japokuwa unataka kujenga hoja nje ya madaNa wewe mwalimu upo kwenye ndoa au unatafiti za wenzio tu
Kumbe ulikuwaKwahiyo mkuu unataka niwaze vile unataka siyo. By the way nilikuwa mwalimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu, ona ilivyobarikiwa. Ni maisha baada ya baraka za Mungu na wazaziMtazamo wako ni ndoa jambo zuri, si ndiyo?
Kama yapi mkuu, nimetoa rai kwa mtazamo wangu. Wewe unachotakiwa ni kuchangia unachokifahamu ili sote tuelimike. Sasa hapo mimi na wewe nani wa kurudi shule mkuuKumbe ulikuwa
Unajua mwalimu ni kiumbe mhimu sana
Sasa unapo ona baadhi ya mawazo ya mwalimu unajiuliza maswali meng
Sent using Jamii Forums mobile app
Point mkuuNDOA SIO SIFA MKUU NA SIJAONA UMUHIMU WAKE
USISUBUTU KUINGIA HUKO UTAJUTA KILA KUKICHA TUNAWAAMULIA KESI MARA KUCHAPIWA MARA MATATIZO MARA MKE HAPENDI NDUGU ZANGU
SIWEZI INGIA KWENYE ILO SHIMO WE TATUFA WATOTO BASI KUOA WAACHIE WALUGALUGA
NA MDA SI MREFU WATAKUJA KUJIFARIJI HAPA
Hapana mkuu, ndoa za siku hizi ushenzi mtupu, ni heri kuwa bachela kuliko kujiingiza kwenye shimo la ndoa.Kabisa mkuu, ona ilivyobarikiwa. Ni maisha baada ya baraka za Mungu na wazazi
Sent using Jamii Forums mobile app