Wengi wanakimbilia ACT Wazalendo kwa sababu ni chama huru baada ya Zitto Kabwe kustaafu. Mwabukusi na Mbatia watajwa kuhamia!

Kama alivyosema Ismael Jussa kwamba mabadiliko kamili nchini Tanzania yataanzia Zanzibar kupitia ACT wazalendo " mpya"

Sasa nimeanza kumuelewa nawaona Watu wanagombea Kadi

Kustaafu kwa Zitto Kabwe kumewapa mtaji mkubwa ACT wazalendo

Ramadan Mubarak 😀
Hao sio habari kubwa,habari kubwa ni Kakurwa.
 
Haya majuha hayachoki........... eti Lisu anahamia ACT...ACT ni ya zanzibar, bara hakuna kitu na hakutakuwa na kitu. kama Zito alishindwa kuleta kitu bara, sahau mwanamke dada Semu johnthebaptist
Wewe Usiwe mjinga Tundu Antipas Lisu hajaanzia Siasa Chadema kwahiyo hakuna maajabu yeye kwenda ACT Wazalendo
 
Back
Top Bottom