okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,459
- 3,842
Wengi wanajiuliza je ni namna gani naweza patikana katika network.?
Namaanisha mfano unatasearch OKIWIRA katika google napatikana mahala fulani..
Je kuna taratibu za kujisajili katika JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA au kuna njia za choccho?
Ili mtu yeyote akiitaji huduma zangu akisearch hata katlka maps anajua nipo mahala gani?.
KARIBUNI WATAALAMU.