Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,955
- 156,122
Nimekuwa nikifuatilia thread nyingi za wanao tafuta wachumba hapa JF. Nimegundua urafiki hushamiri siku ya kwanza kwa Pm za hapa na pale, watu hawabadilishani namba za simu kwa sababu za kijinga tu. Lakini sababu ya msingi ni kuwa hapa jamvini kuna mababa na midevu yao inajidai mijike, ndio hiyo mara nyingi inatangaza kutafuta waoaji. Nawakilisha kutoka Makongolosi Chunya.

aisifuye :rain:imemnyea:wink2:
Hisia sio nzuri, manake hata mimi nikitangaza nia kesho asubuhi, mtahisi natania, kumbe kweli.
Hisia za kuchezewa akili lazima ziwepo hasa kama mtu limeshawahi kukutokea au umeliona linamtokea mtu.
Mimi nina jamaa yangu aliniambia kwamba wengine wanaotafuta wachumba wa kiume ktk magazeti ni wanaume. Sikuamini nikaamua kuchukua namba moja wapo nikai-save GAZETI na nikamtumia kujitokeza kutaka uchumba kwake. Huwezi amini alikuwa anasema yeye anataka mwanaume mkweli na hatapenda kutumiwa hata vocha na mwanaume. Siku nikimwambia tukutane anakuwa anachenga nyngi sana lakin baadae (Baada ya siku 20 za mawasiliano) akaniambia yeye ni mwanaume na alikuwa ananitania tu
Mkuu hii inavoonekana ni kweli, bujibuji atakuwa kalizwa na wajanja wenzake... lakini watu kutangaza nia sio tatizo, mwenye tatizo ni wewe unaeingia kichwa kichwa!!!!Bujibuji itakuwa kaPM na kutuma vocha nyingi sana matokeo yake akaja kugundua kuwa ameingizwa mjini na wajanja wanzake.
Mbona kwangu mi ni tofauti tumeelewana na mpaka sasa tunawasiliana kwa simu na wala sio mwanaume,muwe na imani tu na mnachokifanya...