wengi tunasahau......

wengi tunasahau......

imaney

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,014
Reaction score
314
tukifika...

.tunashikana,vuana nguo

tunanyonyana

tuna'tumbukizana

wengi tunasahau kuwa kujikinga ni hatua ya pili,tunavalishana condom baada ya kunyonyana weee na kuambukizana magonjwa,tubadilike AIDS is real:mod:
 
Acha zinaa na uasherati, hizo mambo ya kondomu ni kuifanya zinaa kuwa halali
 
maamuzi magumu hayo,hata raisi mwinyi alisema gonjwa limetushiika pabaya lol😛ound:😛ound:
 
Jamani watu msijifanye watakatifu na kumsema anawaza ngono tu kwani ameongea point japo mnajifanya hamuioni kwa mwamvuli wa utakatifu kwani ni Siri kuwa siku hizi ngono njenje wanao fanya hayo mambo ya zinaa wapo na wengine wapo humu humu na kila siku wanachangia point haya lakini Kama mleta mada alivyo sema ukimwi upo tujiadhali kwa kila hatua
 
wewe bado mdogo,sikushangai sababu hujawa experienced na mambo ya ngono sana:A S 103:
Una uwezo wa kuelewa swali?
Unajua swali langu lilikuwa linahitaji jibu la aina gani?
 
Kwa majibu ya nilichomuuliza ameonesha hana uwezo hata wakujua swali linahitaji majibu ya aina gani

Unaweza kuulizwa chakula cha ng'ombe ni nini ukajibu gari la kwanza la kwenda Cape town litanaondoka alfajiri saa 11
Utakuwa umejibu lakini sio jibu sahihi na itaonekana hujui hata swali limeuliza nini
Kama hujui swali limeuliza nini hutaweza kujua swali linahitaji jibu la aina gani!!

Ndo huyo jamaa sasa
Nimekuuliza kama ana uhakika na alichosema anajibu mimi ni mdogo na sina uzoefu kwenye masuala ya ngono
Kwanza hanijui hivyo hilo jibu lake ni la kindoto zaidi

Halafu hakuelewa nimemuuliza nini
Mimi sikumuuliza kuhusiana na uzoefu wala umri wangu

Unaona alivyojiingiza shimoni??
 
mmmnh haya umeshinda....
 
Wazee wa povu!
 
tukifika...

.tunashikana,vuana nguo

tunanyonyana

tuna'tumbukizana

wengi tunasahau kuwa kujikinga ni hatua ya pili,tunavalishana condom baada ya kunyonyana weee na kuambukizana magonjwa,tubadilike AIDS is real:mod:

aisee....!?
 
Back
Top Bottom