Wengi hawayajui haya

Haya matunda ni mengi sana huko maeneo ya uwemba njombe na hua tunaita matunda damu.

Ina maana haya matunda kuna sehem wanayaweka kwenye mboga?au kuyachoma na kuyatumia kama mboga?nilikua sijui kabisa.
Mufindi Iringa pia tunaita matunda damu
 
Wakati wa ujenzi wa reli ya Tazara hizi Lorry toka China ghafla zilijaa nchini- bidhaa nyingi toka China zilijaa madukani ikiwemo na dawa ya meno Maxam
 
Attachments

  • IMG-20240303-WA0028.jpg
    37.9 KB · Views: 16
Wakati wa ujenzi wa reli ya Tazara hizi Lorry toka China ghafla zilijaa nchini- bidhaa nyingi toka China zilijaa madukani ikiwemo na dawa ya meno Maxam
Walisema Maxam inatoka Urusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ