Wenger to resigned

Status
Not open for further replies.

rubaman

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
4,983
Reaction score
3,084
ESPN imeripoti kuwa imepata habari kuwa Wenger atatangaza kuresign at 1200 GMT.
NB- Ignore the typo, ilitakiwa kusomeka to resign rather not to resigned... ESPN ndo wanavyosema.
 
Wenger to resigned?

Ignore the typo... lakini ndo habari niliyokuwa naiangalia muda si mrefu ESPN sportscenter. wanadai chanzo chao cha habari kimewapa nyepesi nyepesi toka ndani ya Emirates.
 
Tehe teheeee!!!!!!!!!!!!! April mosi bhana inamambo yake. Ngoja tusubiri kwanza tarehe 1 April ipite kisha nitakuja kusoma tena huu uzi.
 
Mwandikie Moyes na fans wa Man U...sIku kuu ikiisha urudi hapa tuje kukupa vipande vyako
 
Bahati nzuri umeomba samahani kwa kosa la kiuandishi manake hiyo grammar ishaanza kunitia kichefuchefu!
 
ESPN imeripoti kuwa imepata habari kuwa Wenger atatangaza kuresign at 1200 GMT.
NB- Ignore the typo, ilitakiwa kusomeka to resign rather not to resigned... ESPN ndo wanavyosema.


Mezani kwake kuna mkataba na marupurupu yake yameboreshwa saana tu! Yeye na Mwakilishi wake ndio wanasuasua!
 
Canal+ na France24 nao wameitangaza hiyo news.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…